Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

Binafsi nikipatwa na hali kama hiyo huwa najitenga nasikiliza music kweny cm nikiwa kweny utulivu. Au nakaaga na wale watu waliotengwa na jamii na kuwaona si chochote kama Mateja au wale waokota makopo napiga nao stori sana, Nawanunulia Fegi wanani naanza kuwachimba sana kwa mambo mengii. Nikitoka hapo akili inakuwa sawa
 
Nimeipenda hii mbali na kupunguza hasiri unsongeza kitu kwa kichwa.
 
Huwa napenda kuwa alone ili nilieeeeee.......mpaka hasira zinapoa

Ila Mimi nikikasirika haswa hata km hasira km ikiisha huwa nakuwaga mpolee yaani unaweza ukadhani mpka baada ya siku 2,3 HIV ndio uchangamfu unrudi
 
Back
Top Bottom