Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
11,234
32,630
1000017945.jpg
1000017944.jpg


Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini.

Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo katika ndege hiyo bado hazijajulikana.

Video za tukio hilo zimeonyesha ndege hiyo aina ya Boeing 737-800 ikiserereka kwa kasi katika njia yake, kabla ya kugonga ukuta na kuwaka moto.

Ajali hiyo imetokea leo saa tatu asubuhi nchini Korea ya Kusini.

=====================================================

A passenger plane burst into flames Sunday after it skid off a runway at a South Korea airport and slammed into a concrete fence when its front landing gear apparently failed to deploy, killing at least 47 people, officials said.

The National Fire Agency said the fire was almost put out but officials were still trying to pull people from the Jeju Air passenger plane carrying 181 people at the airport in the southern town of Muan.

At least 47 people had died in the fire, the agency said. Emergency workers pulled out two people — one passenger and one crew member. It said it deployed 32 fire trucks and several helicopters to contain the fire.

Footage of the crash aired by YTN television showed the Jeju Air plane skidding across the airstrip, apparently with its landing gear still closed, and colliding head-on with a concrete wall on the outskirts of the facility. The transport ministry said the incident happened at 9:03 a.m. local time.

Emergency officials in Muan said they were examining the cause of the fire. They said the plane's landing gear appeared to have malfunctioned. The transport ministry said the plane was returning from Bangkok and its passengers include two Thai nationals.

Local TV stations aired footage showing thick pillows of black smoke billowing from the plane engulfed with flame.

The incident came as South Korea is embroiled into a huge political crisis triggered by President Yoon Suk Yeol’s stunning imposition of martial law and ensuing impeachment. Last Friday, South Korean lawmakers impeached acting President Han Duck-soo and suspended his duties, making Deputy Prime Minister Choi Sang-mok to take over.

Source: CTV News
 
View attachment 3187464View attachment 3187465
View attachment 3187470
Takriban watu 62 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 175 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini.

Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo katika ndege hiyo bado hazijajulikana.

Video za tukio hilo zimeonyesha ndege hiyo aina ya Boeing 737-800 ikiserereka kwa kasi katika njia yake, kabla ya kugonga ukuta na kuwaka moto.

Ajali hiyo imetokea leo saa tatu asubuhi nchini Korea ya Kusini.
Matambiko ya damu mwisho wa mwaka ni Jambo la dunia nzima
 
Kampuni ya Boeing inaweza kuwa ndo mwanzo wa mwisho wake, tayari makampuni mengi ya usafirishaji wame cancel order za kununua boeing na kwemda kununua airbus, hizi ajali ndoz zinazidi kubomoa reputation yn.
Ndege za Boeing zina shida mahali maana zimehusika katika ajali nyingi za miaka ya hivi karibuni na kama zingekuwa zinatengenezwa nje ya Marekani wangeshatoa kauli kuziharibia soko.
 
Back
Top Bottom