kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

    Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa. Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600, kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Faith Jerop kuzaa na Mwanaume Mrusi na kupoteza kichanga chake

    Faith Jerop alipokutana na mwanamume Mrusi nchini Kenya, alihisi kama ameokota dodo kwenye mnazi. Upendo wao ulichanua vizuri, mdogo mdogo mpaka mahaba yakawa mazito. Na binti yao alipozaliwa, ilikuwa kana kwamba furaha yao imepata nafasi ya kuendelea kuwa imara. Bi mdada huyu akaona isiwe...
  4. Genesis_2030

    JamiiForums Tanzania 🩺 Je, Unakumbwa na Changamoto ya Kupoteza Mimba Mara kwa Mara?

    📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiographer | Health Educator 📲 IG: @hillary_officialtz Hii inaweza kuwa ishara ya BOH – Historia Mbaya ya Mimba. BOH ni kifupi cha “Bad Obstetric History”, yaani historia ya matatizo ya ujauzito au uzazi katika mimba za awali. 🔍 Dalili za BOH ni...
  5. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Viongozi Yanga Wanatumika Kupoteza Ari ya Upinzani Dhidi ya CCM?

    Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION? Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao. Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali...
  6. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

    Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika. Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it. Hata kama anaongea vitu vyenye...
  7. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hesabu za kimedani zimemtupa nje Gwajima katika ramani ya urais, kuendelea kumjadili ni kupoteza muda

    🕵🏾‍♂️ CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE “Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong 📍 INTELLIGENCE BRIEFING Kumekuwa na movement ya chini chini inayomweka “The Preacher General” kama the next big thing kwa kiti cha juu kabisa cha nchi...
  8. Hornbil

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

    Afya imeyumba Sana Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa Madeni chungu zima!! Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔 Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation 💔
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimteka mdude na kumpeleka kusikojulikana nao wapotezwa ili kupoteza ushahidi

    Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!! Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Apigwa shoti na kupoteza nguvu akiiba Transfoma ya TANESCO Manyoni

    Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni aliyepigwa na shoti ya umeme na kupoteza nguvu ya kutembea baada ya kuiba baadhi ya vifaa...
  11. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  12. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man Utd wamekasirika baada ya Sir Jim Ratcliffe kufanya uamuzi wa ghafla siku chache tu baada ya kupoteza fainali ya Europa League.

    Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League. Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wa Kwale Deus Clement Sangu atilisha kupoteza Wanaotaka gombea ubunge Kwale. Asema yeye ni MAFIA

    Msikilize ANASEMA ATAUA MTU YEYE NI USALAMA WA TAIFA. ANAAPA KUUA YEYOTE ATAKAYEJITOKEZA KUGOMBEA KWALE NA JIMBO HALITAGAWANYWA https://www.youtube.com/watch?v=tklwP9kcx_M
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM hapa JF mbona mnajifichaficha? Tuambieni kama hii hali ya kamata kamata na kupoteza watu mnaiunga mkono

    Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili? Ni...
  16. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote Kinachoendelea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani

    Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani. 1. Samia na Waislam 2. Nyerere na Wakristo Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hupaswi kujibizana nao kwani wewe ndio utaonekana mjinga Na kupoteza heshima

    Kuna muda unaweza kutamani kumjibu ukidhani unalinda heshima yako kumbe ndio unaipoteza kabisa kwa sababu watu wataaanza kukushangaa kujibizana na aliyeshindikana. Kuna watu furaha yao ni wewe kuvurugwa ili mfokeane hivyo kwa namna mbalimbali watakuchokoza ili mjbizabe na hiyo ndio furaha yao...
  19. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani kuuwa au kupoteza kabisa baadhi ya maneno yasiendelee kuwepo tena kwenye matumizi?.

    Kumekuwa na tabia inayoendelea kukomaa kwenye jamii na haswa kwa Vijana ambapo huona ni ujanja kutumia maneno ambayo tulishakubaliana kama jamii kuwa ni matusi.Haswa matumizi ya kutaja maumbile ya jinsia ke kiasi kwamba sasa hata Watoto wamejikuta wakizoeshwa kuyasikia kama maneno ya kawaida...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa ! Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
Back
Top Bottom