kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katibu Mtendaji MCT: Vyombo vya Habari bado vinaendelea kupokea vitisho vya kiutawala

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, licha mabadiliko ya sheria kadhaa zinzogusa tasinia ya habari nchini lakini amedai kuwa bado zipo changamoto za kisheria ambazo ni kikwazo kwa vyombo vya habari. "Pamoja na mabadiliko tunayoyaona ya sheria kadhaa, bado zipo...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda ina uwezo wa kupokea basi 100 kwa wakati mmoja?

    Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda. Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu? Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau. Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za kupokea mzigo kutoka UK kupitia Kenya ni zipi?

    Siyo utani ni shida ya kweli... Kuna mtu kanifuata hapa anasema katumiwa parcel kutoka UK na imefikia Kenya Watu wa Kenya wamemtumia sms Whatsapp wamemwambia aende akachukue mzigo wake ndani ya saa 12 akiwa na orijino copy ya ID. Kinachomtatiza ni process za kufika hapo Uwanja wa Jomo...
  4. JamiiForums Tanzania Jifunze utulivu wa fikra hasa kwenye kupokea habari yoyote hususani kuhusu wengine

    Habarini nyote, Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu. Tutende haki ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ukraine kupokea ndege 42 za aina ya F-16

    Hapa sasa vita vitakua vinakwenda kwenye kiwango kipya, angani... ========= President Volodymyr Zelenskyy, who is currently on a visit in the Netherlands, has announced that 42 F-16 fighter jets "will be in Ukrainian skies". Source: Zelenskyy on social media, Zelenskyy and Mark Rutte during...
  6. JamiiForums Tanzania TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi walioshiriki kupokea ripoti ya haki Jinai hakuna aliyekuwa anatake note isipokuwa President peke yake?

    Ni sahihi kwa viongozi kuingia kwenye kikao cha Mhe. Rais bila diary wala note book? Au protokali ndio inataka hivyo? Na kama ni protokali mbona Mhe. Rais alikuwa busy kusikiliza na kuandika? Baadhi ya viongozi wanaonekana kwenye TV wamelala kabisa. Enzi ya utawala wa Mwalimu na hata utawala...
  8. JamiiForums Tanzania Muleba: Afungwa Jela miaka 3 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 250,000

    Hukumu hiyo imetolewa Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Muleba, Kagera dhidi ya Mashaka Magesa Ngereja baada ya kumkuta na hatia ya kupokea Hongo kwa lengo la kuuza Ardhi ya Kijiji cha Kahangaza kitongoji cha Kanyamlima. Mshtakiwa alikutwa na kosa hilo ambalo ni kinyume na Kifungu cha 15 cha...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi Karume: Niko tayari kupokea uamuzi wowote utakaotolewa na CCM dhidi yangu

    Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Ali Abeid Karume amehojiwa na Kamati ya Maadili ya chama hicho na kuweka wazi kwamba yupo tayari kupokea uamuzi wowote utakaochukuliwa dhidi yake. Hali hiyo imefuatia baada ya kauli yake ya hivi karibuni...
  10. JamiiForums Tanzania Naweza Kupokeaje bidhaa toka USA?

    Habari wana jamii forums. Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel ,msaada nifanyeje ili ni mshauri inifikie zawadi yangu ni digital portable computer na simu kwa wenye...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga kupokea wachezaji 3 toka La Liga

    Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B. Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F...
  12. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kursk, Urusi waendelea kupokea mabomu ya Ukraine, yaani Urusi ndani ndani

    Warusi hawana amani tena ndani ya Urusi.... A construction worker was killed near the Russian village of Plekhovo, a few kilometres from the border with Ukraine after shelling from the Ukrainian side, Roman Starovoit, governor of the Kursk region said on Telegram. Works were being carried out...
  13. JamiiForums Tanzania Kamati yaanza kupokea kero za wafanyabiashara Kariakoo

    Kamati ya watu 14 ya kushugulikia changamoto za wafanyabiashara nchini imeanza kazi kwa kukutana na makundi tofauti ya wafanyabiashara. Kamati hiyo ilisema Dar es Salaam jana kuwa itafanya kazi kwa weledi, itasikiliza maoni yote na itazunguka katika masoko nchini. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

    Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  16. JamiiForums Tanzania Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

    Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais. Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu. Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo Tanzania

    Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini. Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea fedha nje ya nchi

    Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia. Taarifa zako...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yakana kupokea barua ya Mkurugenzi Jatu kukiri Mashtaka

    Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33) umeileza mahakama kuwa bado haujapata barua ya mshtakiwa huyo kuomba kufanya majadiliano na makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukiri mashtaka yanayomkabili. Gesaya...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Ukifungua sanduku la posta mtandaoni unaweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo?

    Wakuu, Nimeingia kwenye tovuti ya posta nimeona kuna sehemu wameandika kufungua virtual box. sasa nilikuwa nauliza je, kama nikifungua naweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo? Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…