Namna ya kupata paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea fedha nje ya nchi

Dec 17, 2022
73
43
Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia.

Taarifa zako za muhimu uwe nazo tu. Inachukua masaa 24 akaunti yako kuwa active. Unafunguliwa akaunti hizi kwa gharama ya shilingi 50,000 pekee.

Umuhimu ni kuwa unaweza kuzitumia kupokea malipo au hata kutengeneza tovuti yako yenye uhitaji wa kulipia. Unaweza kunitafuta whatsapp kwa namba 0625734020.

Nitakutengenezea akaunti zako na utaweza kuvinjari.
 
Back
Top Bottom