kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Misri wamewafanyia vurugu na kuwaondosha waandamanaji wa kimataifa waliotaka kupitia nchini kwao kuelekea Gaza.

    🤣🤣 Wamisri wameona hawataki kuingizwa katika utapeli wa kipalestina. Wana maana yao kwa nini wameweka uzio mkubwa katika ya gaza na misri.
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
  4. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Utapeli mitandaoni kupitia phishing link

    Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda. Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini pamoja na hayo, kuna watu wanaotumia mtandao kwa ajili ya udanganyifu. Moja ya njia wanazotumia sana ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  6. mshale21

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

    Wapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja kutoka Mwanza aliamua kuchukua njia za tofauti. Jina lake ni Festo kijana mnyenyekevu, mpole lakini...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Bilioni 240+ Zatolewa kwa Wananchi Kupitia Mikopo ya asilimia 10– Je, Wewe Umewahi Kunufaika?

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba. Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  10. mike2k

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Bunge linatoa Tuzo kwa Rais kupitia jina la CCM? Hili ni jambo la hatari kwa Katiba yetu

    “Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
  11. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

    Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika. Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it. Hata kama anaongea vitu vyenye...
  12. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

    Buenas Domingo amigos! Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005 Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli...
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Uponyaji kupitia kukumbatia mti au kutembea msituni

    Miti ni waponyaji. Unapokaa chini ya mti au kuukumbatia, unahisi nishati yake ya uponyaji. Ina nguvu ya asili inayotuliza akili na mwili. Katika nchi kama Japani, kuna tiba inayoitwa Forest Therapy (Shinrin-yoku) — yaani tiba ya kuwa msituni — ambayo hutumika kusaidia watu waliokumbwa na...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ninalitaka Jimbo la ileje na ninaenda kumuondoa kasekenya kupitia CHAUMMA na sera yetu Bora kabisa ya ubwabwa!

    Ileje ndiko nilikozaliwa na ndio Jimbo pekee la uchaguzi Tanzania ambalo asilimia 70 ya watanzania hawalijui kabisa ,nimejaribu kukaa na watu tofauti tofauti ukizungumzia wilaya ya ileje wengi hawajui kama lipo Tanzania. Ileje haijwahi kuwa chini upinzani na upinzani haujawahi kuwa na nguvu...
  15. Popomtata

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Bitnest Project na mapinduzi ya uwekezaji kupitia Blockchain.

    📢 UWEKEZAJI WA KIPEKEE: BITNEST NA BITLOOP! 🚀 Je, unatafuta fursa ya kufaidi kwa kasi na kwa uhakika katika ulimwengu wa DeFi (Decentralized Finance)? Bitnest inakuletea mfumo wa kipekee wa uwekezaji wenye faida kubwa na salama kupitia bidhaa yake ya Bitloop! ### 🔹 KWA NINI BITNEST? ✅...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
  17. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mliooana kupitia forum hii leteni mrejesho

    Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
  18. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Majinn wazuri wakiponya Watu

    Ach kuteseka Tafuta Majinn Okoa Muda mja wa Allah Nawaonya Acheni kusaka Miujiza. Mtapigwa Kam Ngoma
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aongoza Kikoa cha Kimkakati wa Kiuchumi wa Nchi Kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

    WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) ▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO ▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati na adimu...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kipindi kupitia redio ya Kenya radio47 kikijadili udukuzi wa Tanzania account za serikali

    Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira. Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika. Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
Back
Top Bottom