kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mh. Rais, inawezekana unahujumiwa kupitia ama Bank au watu wa Hazina

    Mpaka sasa watumishi wa umma wengi wao wanaochukulia mshahara NMB hawajapata mishahara wakati wanaochukulia mshahara Bank zingine walishapata tangu juzi Jumamosi. Kuna nini hapo?
  2. U

    Iran kutumia njia ya anga kupelekea silaha kwa magaidi ya Hezbollah, njia ya ardhini kupitia Syria imedhibitiwa na Israel baada ya kuangushwa Asad

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran sasa imeamua kutumia njia ya anga kupitia uwanja wa ndege wa Beirut kusafisha silaha nzito kwa washirika wao ambao ni magaidi ya Hezbollah Mazungumzo mazito yanaendelea muda huu huko tehran Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Live Update arrow...
  3. ngara23

    Jinsi ya kutoboa kupitia biashara ya mazao (nafaka)

    Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika Usichukue mtaji ukawekeza kulima kama kijana unayejitafuta maana kilimo kina risky zake Kwa sisi Africa tunaotegemea mvua ya...
  4. 0

    Jinsi Ex wangu anavyonisurubu kupitia mtoto

    .....
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  6. N

    NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  7. Tlaatlaah

    Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

    Hautapita muda mrefu, mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015. Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025. Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart...
  8. M

    Haya maisha jamani nimejifunza sana kupitia Qatar world cup 2010

    Mzuka wanajamvi! Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022. Yani kumbuka hiyo 2010 nikawa najiuliza 2022 mbona mbali jamani wakati ndo mgeni mgeni kwenye Facebook...
  9. Charlez kanumba

    Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
  10. Tlaatlaah

    Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

    Za chini kwa chini yasemekana kwamba, Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri. Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
  11. Waufukweni

    Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

    Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake. Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
  12. Quetzal

    Je unaweza pata mahusiano yanayoeleweka kupitia Dating Site?

    Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz. Looooh....Najutraaa Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating app.?. Maana kila mmoja anataka kupiga na kusepa. Je wapo waliopata wampenzi na mahusiano kwenye...
  13. Waufukweni

    Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  14. Mr Beach Boy

    Unaweza kupata wazo la biashara kupitia njia hii ambayo naifanya hapa. Ikawa faida kwako na kwangu pia

    Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp? Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
  15. A

    KERO Magari ya Matangazo Mbeya Jiji hayazingatii Usiku wala Mchana, imekuwa kero sasa

    Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo ya Viwanja maeneo ya Nsalaga. Jamani tumekuwa tukilalamikia hizi kero za haya magari ya matangazo...
  16. Bushmamy

    Tetesi: Arusha: Kada wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa mtaa kwa kupitia chama hicho apotea

    Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa. Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi. Hata...
  17. The Father of All

    Kupitia Botswana na Msumbiji naiona Tanzania mpya kabla sijatoweka.

    Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba...
  18. State Propaganda

    Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
  19. Bams

    LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  20. Logikos

    Jinsi Makampuni yalivyowahi / yanavyowaibia Wananchi kupitia Nishati na kujinufaisha wao na Vikaragosi vyao...

    Ni Hesabu ndogo tu... Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa basi na Bei ya Mtumiaji itaongezeka; IKIWA MZALISHAJI NI UMMA; Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa sababu Nishati ni Huduma huenda ikatolewa Ruzuku kupunguza hizo gharama au Mteja hana jinsi lazima atatumia tu IKIWA MZALISHAJI NI BINAFSI...
Back
Top Bottom