kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, kukosa akili, kuwa Chawa na kusifia viongozi ni vigezo vinavyofaa kuwa mbunge kupitia CCM badala ya uadilifu na utendakazi?

    Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM? Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
  2. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

    Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara atakuwa eligible kwa mkopo wa riba nafuu sana kama mfanyakazi/Wafanyakazi wake atawalipa mshahara kupitia bank

    Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
  4. City Of Lies

    JamiiForums Tanzania Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social

    Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake. Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la “Trump Fragrances – Victory 45-57.” Kila chupa iliyo na umbo la sanamu ya Trump akiwa amevaa suti...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania CCM wavuna bilion 2.2 kupitia ada ya kuchukua fomu ,wagombea ubunge wafikia 4109

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maiko Salali Hosea atia nia kugombea Ubunge, Jimbo la Mpwapwa

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maiko Salali Hosea amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli CCM kupitia Tanzania mnaenda kukubali mama awe Rais tena miaka mitano mingine?

    Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku, Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri, Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka...
  8. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kupitia chama cha Siasa

    Habari Tanzania ! Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha? Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi. Asante.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nchi hailindwi Kwa Bunduki ,inalindwa Kwa UMOJA na Mshikamano wa Wananchi kupitia Haki ! Wairan wameishinda Israel na Marekan si Kwa Uwezo wa kijeshi!

    Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imeshusha Heshima ya Ubunge na Uchaguzi Kwa ujumla ndio Sababu watia Nia kupitia CCM ni wengi wakiamin ni lazima washinde

    Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii. Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!. Watia Nia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Usimamizi wa 'Mikopo ya Dharura kupitia simu' nchini Tanzania

    Utangulizi Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa ubunifu huu ni kuibuka kwa huduma za mkopo wa dharura kupitia simu za mkononi, zinazojulikana kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM

    Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe mkoani humo kwa tiketi ya CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Kwa Ajili ya Matukio Yote Ya Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu Za Ubunge Kupitia CCM 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara. Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina...
  14. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa tajiri kwa njia ya nuru kupitia malaika wako

    Njia ya kuwa tajiri kwa kutumia Nuru (mwanga wa kiroho) na msaada wa malaika wa mwanga (divine angels) inahusisha kujenga muunganiko wa kina wa kiroho, nidhamu ya kiroho, na mazoea ya kiimani ambayo huamsha nguvu za mbinguni ndani yako na kuvuta baraka za kiroho na kifedha. Hapa chini ni...
  15. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Marekani huingiza 97bn kwa mwaka kupitia porn industry

    Dah kweli papuchi inalipa Wakati wizara yetu ya maliasili na utalii kutangaza kuingiza 9bn mwaka jana kwenye sekta ya utalii, marekani wao waliingiza 97bn kupitia kiwanda Chao maarufu porn. Inasemekana kwa seconde marekani huingiza 3075. 24 million kwa watazamaji wanaoangalia video online ambao...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran, ametangaza: Hakuna tena mazungumzo ya amani na Marekani au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu

    Wanaukumbi. 🚨🇮🇷 MAKOMBORA YANAPOSONGA 🚨 Picha zinazosambaa sasa zinaonyesha Iran ikituma makombora makubwa ya balestiki chini ya usindikizaji mzito. Tehran ametangaza: "Hakuna tena mazungumzo ya amani na Merika au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu." 📢 NI ISHARA GANI HII: ⚠️...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Ayatollah kwa kuhofia maisha yake, anaongea sasa kwa kupitia msaidizi

    Huyu mzee anajua kilemba chake sasa ndio kimebaki baada ya manyuklia kusambaratishwa, ameingia mitini, anaongea kwa kupitia msaidizi, hataki kuwahishwa kwenda kwa mabikira. Hezbollah supporters organize a demonstration in support of Iran as it continues its mutual attacks with Israel, in...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupitia posts zao ninalipongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata WACHOKONOZI

    Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani...
  20. SIR.NOM

    JamiiForums Tanzania Timiza ndoto zako za Ujasiriamali,kwa kupitia uzi huu

    Fanikisha ndoto yako ya ujasiriamali.Kwa kujipatia ujuzi mwenyewe kupitia simu janja yako.Kwa kujisomea vitabu vya kwenye makundi yafuatayo; #UfugajiWaKuku #KuleaVifaranga #ChakulaChaKuku #KilimoChaVitunguu #KilimoChaNyanya #KilimoChaTangawizi #KilimoChaTikiti #IceCream #Bites #Mapishi nk...
Back
Top Bottom