kupinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
  2. MzeeKipusa

    JamiiForums Tanzania Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai

    Kimeumana! Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya. Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo? Kinachonishangaza ni...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Songea amuandikia barua Spika wa Bunge kupinga bandari kuuzwa

    BRAHIM JEREMIAH S.L.P 602 SONGEA 06/06/2023 KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE 10 BARABARA YA MOROGORO S.L.P 941, 40490 TAMBUKARELI DODOMA YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD Ndugu Husika na Kichwa cha barua hapo Juu, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ikibidi Vyama vya upinzani tuungane hata na Genge S kupinga mkataba huu hatari kwa taifa letu

    Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa DP. Mkataba huu kama utasainiwa utaifunga Tanzania na miaka mingi na kutufanya kupoteza udhibiti wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Mjini apinga kustaafishwa

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu . Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mahakama yaanza kusikiliza Kesi ya Kupinga Ushindi wa Urais wa Abola Tinubu

    Kesi ilifunguliwa na waliokuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Februari 2023, Peter Obi wa chama cha Labour na Atiku Abubakar (PDP) kwa madai kuwa Tume ya Uchaguzi (INEC) ilishindwa kuweka Matokeo Mtandaoni kwa muda halisi. Madai hayo ikiwemo ya Tume kushindwa kuwa wazi na kukiuka Sheria za...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

    Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali. Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
  9. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Tunapopigania haki sawa, Tohara kwa wanawake, Ubaguzi wa rangi, nk. Tusisahau pia kupinga Utoaji wa Mahari

    Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati. Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

    Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua. Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote USSR...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rose Tweve apeleka Milioni 7 Mkoa wa Iringa na kupinga ukatili

    MHE. ROSE TWEVE APELEKA MILIONI 7 IRINGA, APINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amendelea na ziara yake ya siku tatu Wilaya ya Iringa mjini lengo likiwa ni uimarishaji wa Chama na Jumuiya, kutunisha mifuko ya wanawake, Elimu dhidi ya mikopo...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kamati za Siasa za CCM Mkoa na wilaya nchi nzima, kama njia ya kupinga ubadhirifu, washughulikie taasisi na watumishi waliotajwa na CAG

    CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote, si wanachama wa CCM kwa mujibu wa ajira zao. Kuanzia ngazi ya wilaya, hawa wabadhirifu tuwaandame...
  14. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mussa Mangu ashinda rufaa ya kupinga kunyongwa kwa mauaji ya Erasto Msuya

    Habari wana jukwaa natumaini mpo salama! Mfungwa Mussa Mangu aliyekua anatumikia adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika katika mauaji ya Bilionea Erasto Msuya ameachiwa huru jana baada ya kukata rufaa yeye na wenzake wanne. Mahakama ya rufaa imeamua Mussa Mangu kuachiliwa huru mara moja...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekata rufaa kupinga kifungo cha miaka 30 afungwa maisha

    Rufaa ya pili aliyokata mkazi wa Kijiji cha Mwanambaya, Wilaya ya Mkuranga, Denis Joseph, kupinga kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi imegeuka msiba baada ya kujikuta akiambulia kifungo cha maisha. Mahakama ya Rufani imekubaliana na Wakili wa Serikali, Elizabeth...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani Nigeria yamruhusu Peter Obi kupinga matokeo ya Uchuguzi

    Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola Tinubu. Mapema mwezi huu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria bwana Mahmood Yakubu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

    Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja. Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo. Tuliona presha nchi ya Qatar...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Wabunge wapandisha umri wa kustaafu licha ya maandamano ya kupinga

    Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya Pensheni. Muswada huo ulioibua Maandamano na Migomo ya Wananchi takriban Milioni 1.2 wanaopinga mabadiliko...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Mwanukuzi kupinga wezi wa kuku kufungwa wezi wa mamilioni serikalini kubaki ofisini

    Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini. "Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Macron atua Afrika licha ya maandamano ya kupinga ziara zake

    Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za kuipinga ziara hiyo. Ziara hizo zinafuatia hatua ya #Urusi kuanza kujenga uhusiano na Nchi zilizowahi...
Back
Top Bottom