Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu.
Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.
Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
Wanabodi,
https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR
Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS.
Kiukweli TLS...
TAASISI YA "MOYO WA MWANAMKE SHUJAA" YAFANYA KONGAMANO NA KUIASA JAMII KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
TAASISI ya Moyo wa Mwanamke Shujaa yenye Makao yake Makuu Manispaa ya Morogoro chini ya Mkurugenzi wake, Dkt. Magreth Kongera, imefanya Kongamano la maombi na uzinduzi wa kampeni ya kupinga...
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.
Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!
Naomba watanzania...
Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa.
Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa wakaanza kuwa pingapinga.
Wananchi wakadharau na kuwaona wapigaji tu. Ila sasa baada ya kubanwa na...
Salam Wana JF,
Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo.
Hii taasisi imesababisha...
ZANZIBAR
KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Wameeleza...
Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli.
Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili.
Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
Nawiwa kuweka hapa kumbukumbu za wote waliotetea na kupinga kwa nguvu zote uuzwaji wa bandari. Majina yao yakiwa hapa yatasaidia waandishi wa vitabu na makala kwa siku zijazo kupata refference na kuona kama maono yao ya kupinga yalikuwa sahihi au hayakuwa sahihi. Naomba nianze kuwataja wachache...
Mimi ningepinga uharibifu wa mazingira unaofanywa kwa kisingizio cha maendeleo. Ninakerwa mno na ukataji wa miti ovyo ili kujenga barabara au miradi kama ule wa bwawa la Nyerere.
Ningekemea mno uharibifu wowote wa mazingira bila kujali sababu gani imefanya hivyo. Yaani hata miradi yote...
Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:
Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote
Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda...
Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya nchi hiyo.
Leo kupitia Email ya Kamati Bunge nimetuma maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa.
Ndugu wana Jamii Forums, ikumbukwe mabadaliko haya yatapelekea kupoka mamlaka ya Wananchi ambayo yanatolewa na Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara 27 (1) (2) ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.