kupinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa waandamana kupinga TotalEnergies kujenga Bomba la Mafuta ghafi la EACOP

    Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote. Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Makamu wa Rais wa CWT yaondolewa baada ya uteuzi wa kuwa DC

    14 February 2023 Dodoma, Tanzania Makamu wa Rais Chama cha Walimu Tanzania CWT aondoa kesi yake ya Kupinga kungolewa Mbele ya jaji wa Mahakama Kuu mheshimiwa jaji Mdemu, pingamiza aliloweka makamu wa rais CWT bi . Dinah Mathamani kupinga kuvuliwa cheo na mkutano mkuu wa CWT kesi imeondolewa...
  3. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

    Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu. Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho. Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa...
  4. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  5. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Zaidi ya watu milioni 1 waandamana kupinga nyongeza ya umri wa kustaafu

    Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron alisisitiza kwamba ataendelea na pendekezo la mageuzi ya pensheni. Wakiwa wametiwa moyo na...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Israel: Zaidi ya Watu 80,000 waandamana kupinga Serikali kupunguza Mamlaka ya Mahakama

    Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zinapaswa kufanya nini ili kukabiliana na wimbi la kupinga utandawazi?

    Mwezi Aprili mwaka huu, Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen alitangaza mkakati mpya wa mnyororo wa utoaji bidhaa uitwao friend-shoring, unaolenga kuunganisha baadhi ya nchi zilizoendelea ili kuzitoa nchi zenye maoni tofauti na maadili ya pamoja nao kwenye minyororo yao ya utoaji bidhaa...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Madai, kesi, na hukumu ya kuruhusu wafungwa kupinga kura ni kielelezo kingine cha maono mafupi ya wanasheria na mawakili wa Tanzania

    Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa. Hivi karibuni imetolewa hukumu na mahakama yetu kufuatiwa kuombwa na mawakili kadhaa kuwa wafungwa wanayo stahiki ya kupiga...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Wauguzi kuandamana kwa mara ya pili kupinga malipo

    Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022. Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu za Kitilya na wenzake kupinga makubaliano ya 'Plea Bargain' na DPP

    Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia Mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), yaliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili. Kitilya, Shose...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania China: Maandamo ya kupinga Sheria za COVID-19 yashika kasi

    Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo China bado imeweka Sheria ngumu za kuhakikisha inamaliza kabisa janga la UVIKO-19 ikiwemo vizuizi vya kutoka ndani. Nov 26...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Kupinga uchaguzi wa rais Brazil inaruhiswa ila ukipeleka ushahidi wa mchongo na ukashindwa unapigwa fine

    https://www.yahoo.com/news/brazil-election-court-throws-bolsonaro-144821018.html
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Profesa Muhongo kusema hatupo tena uchumi wa kati na Waziri Mwigulu kupinga huku Rais akikubali ni ishara kiimani na kisiasa

    Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading) Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Italia kupinga upelekwaji wa silaha Ukraine

    Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagombea Urais wa Azimio la Umoja wafungua kesi ya kupinga Urais wa Ruto Mahakama ya Afrika Mashariki

    Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
Back
Top Bottom