kupinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

    Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai. Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa na Joseph Mbilinyi wafungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga unyanyasaji Magerezani

    Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa. Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

  4. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Palestina(Gaza) sio Waislamu pekee wanaopaswa kulaani

    Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi yaibuka Chad

    Maandamano yameibuka Nchini Chad ambapo Waandamanaji wanataka Utawala wa Kiraia kurejeshwa baada ya Jeshi kuchukua madaraka kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby. Imeripotiwa watu wawili wamepoteza maisha katika maandamano hayo. Msemaji wa Baraza la Jeshi amesema amesema Vikosi vya Usalama...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aliwahi kupinga kodi ya laini ya simu

  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ipi ni alama ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania? Dkt. Slaa ametufunza kupinga ufisadi,je huyu mwamba?

    Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania? Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dkt. Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inatakiwa kujiunga na China kupinga kivitendo “utaifa wa chanjo”

    Hivi karibuni, miji mingi nchini China ikiwemo Beijing, Shanghai na Guangzhou imezindua kazi ya kuwapatia kwa hiari raia wa kigeni chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, ikiwa ni juhudi za kuwapa wageni haki sawa za kuchanjwa kama wachina. Kijana Adhere Cavince kutoka Kenya ni mwanafunzi wa...
  10. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Nawaamasisha Watanzania tuandamane kupinga Ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Ndugu zangu watanzania, Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu. Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania. Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga na kuuza nchi yetu kwa mataifa mengine. Hebu fikirieni kuna nchi mpaka sasa zimekabwa mashirika yao...
  11. MKWEPA KODI

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya Wajerumani kupinga mradi wa umeme katika bwawa la Stiegler's Gorge

    Kumbe wajerumani wanafahamu kuna madini mengi na ya thamani kubwa ukiacha uranium ya aina mbalimbali eneo hilo la bwawa la stieglers gorge, wanajua tukianza mradi huo tutayagundua yote na kuanza kuyachimba ndiyo maana wanaweka vikwazo ili ikiingia madarakani serikali dhaifu wairubuni na...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

    Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira. Huu ni uhujumu, full stop! UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair...
Back
Top Bottom