kupima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Muda wa kurejea kupima H-PYLORI

    Wakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8 zimeisha hivi natakiwa nikae muda gani ili nirudi tena kuhakikisha kama nimepona?
  2. Vincenzo Jr

    Petrol Stations za Dar es Salaam wanakataa kupima mafuta kwa wenye vidumu vya chuma!!

    Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri...
  3. T

    App ya kupima ardhi

    Naombeni msaada kwa wajuvi. Kuna namna mtu anaweza jua ukubwa wa shamba kwa kutumia simu yake?
  4. ngara23

    Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  5. Afisa_Nkai

    Jitahidi kupima uzito wa kila neno unaloletewa

    Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake, Bwana Socrates alimwambia hivi snitch ambaye alikuwa mwanafunzi wake kwamba kabla ya hujanipa hizo habari...
  6. B

    GE2025 Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!

    Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo. Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
  7. Saad30

    Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

    Habari wakuu. Kuna wakati flani nilikuwa naona nyuzi ya UKIMWI Sana hapa jukwaani asee ilikuwa inanikata Sana sababu najua nilikuwa nauza mechi Hadi nikapewa ugomjwa WA gono na demu mmoja hivi video Queen ilikuwa (2023) kiufupi nakula bila kondom sababu nikitumia kondom nachelewa kumwaga...
  8. chiembe

    Kama sehemu ya kurudisha faida za kiuchumi daraja la Kigongo Busisi, Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri wapange na kupima maeneo jirani

    Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae squatter. Huo ni ukanda wa ziwa, hotel zinafaa, prime plots kama Capri point zinaweza kutengenezwa. Hii...
  9. Roving Journalist

    Vigezo vinavyotumiwa kupima uchumi wa nchi na kuona kama uchumi umekua au lah!

    Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
  10. Fbn

    Kwanini wazungu wakifuga ndevu wanaonekana ni watu kutoka Asia na Waarabu?

    Hiki kitu nimeona sana nchi ambazo majasusi waliobobea wameweza kujiweka na ndevu ambazo si rahisi kujua huyu ni asia au mwarabu wakiwa na lengo lao. Ina maana wazungu wanaweza kubadilika kwa ngozi nyeupe za asia na waarabu.
  11. youngkato

    Jinsi MAABARA za kupima madini zinavyowatajilisha wachimbaji wa DHAHABU Tanzania. Uzoefu wa miaka 10

    Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama (Laboratory Geologist). Uzi wangu kuhusu geologia ya madini huu hapa Tangu wakati huo nimekuwa...
  12. Waufukweni

    Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

    Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito. Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
  13. F

    Maswali Kupima Ujuzi Wa Lugha Badala Ya Ujuzi Wa Somo Husika

    Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
  14. Ojuolegbha

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  15. Mayu

    Kuna GPS App ya kupima na kujua mipaka ya shamba?

    Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
  16. halfcastmangi

    Mizani yote ya kupima magari asilimia kubwa sensor zinazimwa makusudi

    Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi, Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
  17. Carlos The Jackal

    Wakuu najua mnapombeka, Mkesha wa Krismas, vichwani mnawaza ngono tu "Msisahau kupima ". Jamaa kaponea tundu la Sindano Gridi ya Taifa!

    Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini). Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha. Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari...
  18. SYLLOGIST!

    Naibu Waziri Deus Sangu aonyeshe mfano-aanze kupima afya ya akili yake kwanza na atuletee matokeo yake/mrejesho

    Mada Inajieleza. Mh. Deus Sangu bado ni kijana? Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
  19. Knock life

    Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  20. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aiagiza TANROADS Kufunga Mizani Mitatu ya Kupima Uzito wa Magari Tunduma

    BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA. 📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma 📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa 📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
Back
Top Bottom