kupima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanzo wetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakimbia bila viatu kwa kuogopa kupima

    Habari wataalamu, na tumaini ni wazima wa afya. Leo nimeona kituko na nilikuwa sijajua Kama wadada au watu ni waoga wakujua afya za au kupima HIV. Kimsingi kujuana afya wapenzi inapendeza Sana, hasa mda huu ambapo vijana Dunia imetuamini sana hivyo lazima na sisi tujiamin kwa kila Hali na njia...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza sehemu za kupima corona Uwanja wa Ndege

    Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

    Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada? Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata. Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress. Hawa watu hawana uzalendo. Hawa ni vilaza au vipi? Lazima tuwe na nidhamu...
  4. kilamba lamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

    Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa. Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh...
Back
Top Bottom