kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Bondia aliyefariki Zanzibar kwa kupigwa TKO, azikwa Dar

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam. Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Zitto: Nondo akataa kupigwa picha?

    SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA? AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami? PIA SOMA - ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naishauri Simba kukata rufaa kupinga uamuzi wa kupigwa faini ya milioni 5, uonevu ufike mwisho sasa

    Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  6. JamiiForums Tanzania CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Dodoma, Tanzania Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM akielezea tukio la Vijana waliodaiwa kupigwa risasi na Askari Zanzibar

    Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa Pia soma: ~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji ~ Jeshi la Polisi kuunda...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchungaji Israel Ernest Ngatunga aelezea sababu ya kupigwa tofali, asema CCM walikuwa wanawalaghai watu kuwaandikisha kwenye daftari lisilo rasmi

    Haya anayoeleza Huyu Mchungaji Mchungaji Israel Ernest Ngatunga kama ni kweli basi CCM hawataaci madaraka kamwe kwa njia ya amani kupitia boksi la kura Pia soma: LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji
  9. N

    JamiiForums Tanzania Haya sasa Fadlu muda wako wa kupigwa chini

    Jamani naomba mnipe idadi ya makocha waliofukuzwa Simba katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Sisi mashabiki wa Simba ni wapuuzi sana hatuongei ukweli kuhusu uongozi wa Simba chini ya mangungu na benchi la ufundi lenye fitina na figisu nyingi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  11. JamiiForums Tanzania Viashiria /dalili 6 vya kujua kuwa unatapeliwa mtandaoni

    Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu. Inaumiza eeh! Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania. Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Watu 23 wa Israel wameuawa kufuatiwa kupigwa risasi na raia wawili wa Palestina

    Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv. Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha. Wakati huo huo Iran imerusha makombora aina ya ballastic yapatayo 300 leo usiku kama...
  13. JamiiForums Tanzania Muliro: Aelezea tukio la mhalifu kujeruhiwa kwa risasi maeneo ya Tanganyika Packers

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ukiona vijitabia gani au viashiria gani ujue unakaribia kupigwa kibuti?

    Kabla ya kuachwa mara nyingi kunakua na vijitabia au viashiria ambavyo wenza wetu hutuonyesha ila kwa vile wanasema mapenzi ni upofu tunakua hatuvioni viashiria hivyo. Saa nyingine tunaviona viashiria vyote ila inakua ngumu kukubaliana na ukweli wa kuwa mwezangu anataka kuend uhusiano. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Leo kuna Bomu linaenda kupigwa Mochwari, halafu bado kuna Watu watafurahia na kujisifu hata kwa Kuandamana

    Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

    Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
  17. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kujitia moyo kwenye kupigwa, kuzidiwa na kisha kulalamika wanapolipwa kisasi, kupo ndani ya damu za warabu na washika dini!

    Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini! Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa! Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dearby ya Simba na Yanga kupigwa KMC complex

    Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba SC na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna namna wasanii wanafaidika nyimbo zao kupigwa katika Simba Day na Yanga Day? Matamasha yanaingiza pesa nyingi

    Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…