Haya sasa Fadlu muda wako wa kupigwa chini

Jamani naomba mnipe idadi ya makocha waliofukuzwa Simba katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Sisi mashabiki wa Simba ni wapuuzi sana hatuongei ukweli kuhusu uongozi wa Simba chini ya mangungu na benchi la ufundi lenye fitina na figisu nyingi.
Huyu atafukuzwa kwenye mechi ya marudio. Safari hii watajitahidi kumvumilia.
 
Back
Top Bottom