Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa.
Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam.
Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine.
Ukienda mbele kwenye...
Anonymous (f836)
Thread
barabarani
dar
faini
kero
kupiga
sana
trafiki
wengi
Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel
Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii.
Sitaingia katika sababu za kufikia hapo.
Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda.
Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
Habari wana JF,
Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki.
Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
Kuna wimbi kubwa sana la wafugaji kutoka kanda yq ziwa hasa kwenye wakihamia mikoa ya kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma kuna makundi kwa makundi ya wafugaji wa jamii ya kisukuma wakihamia mikoa ya kusini na kuanza kupora ardhi na pia wengi wao kuwadhuru wenyeji wao kitu ambacho kinaleta taharuki na...
Timu yako inahitaji ushindi, na dakika za lala salama imepata freekick karibu na goli la mpinzani. Unamchagua nani kati ya hawa kupiga mpira huo wa adhabu ndogo ili kuhakikisha ushindi?
Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo
kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie
Ijumaa
Jmosi
Jpili
Ijumaa imepita
jmosi ndio hii
Yetu machoooo
Haya wale wazee wa kutafuta ujiko kwa kufyonza bakteria na chembechembe za nnyaa....
Jambo la kuzingatia huyo mwanamke msafi au papa yake anajua kuitunza au ndio harufu ya samaki kama tupo ferry. Inakata stimu unapukua faragha upo na pisi inaita kwa nje kwa ndani harufu ya papa kama kaficha...
Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi.
Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.