Baada ya Kagame kupeleka wanajeshi kuokoa Msumbiji, sasa apokea wakimbizi kutokea Libya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,901
2,000
Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole....

===================

A new batch of 133 asylum seekers from Libya landed in Rwanda early Friday.

They will join others who were already in Rwanda, waiting to be relocated to third countries, as previous hold-ups in Libya begin to thaw.

“The 6th group of asylum seekers from Libya that total to 133 have safely arrived in Rwanda, they have been tested for Covid-19 and are awaiting results. Once they are out, they [will] join others at the transit centre in Bugesera,” a statement from the government stated on Friday.

The relocation process of asylum seekers to Rwanda had slowed down since the year began, with the United Nations High Commissioner of Refugees (UNHCR) saying that, since April, it has been negotiating clearance of an evacuation flight with Libyan authorities but had not succeeded in getting a permit to evacuate the asylum seekers.

Coronavirus related travel complications and strict criteria of resettlement in some countries caused a delay in the entire evaluation and resettlement chain.

UNHCR said the conditions of resettlement vary from country to country, for instance some only want to resettle people with their families, while some countries don’t have structures to receive unaccompanied children. There are also restrictions on nationalities.
Out of the 4,000 people still in Libyan detention, more than 1,000 are eligible to be evacuated by UNHCR, but the process has been sluggish and complicated.

For a big part of last year, the coronavirus related travel glitches hampered resettlement but the process resumed late last year and dozens have already departed since late year.

A new bloc has been constructed at the Gashora Emergency Transit Mechanism to accommodate more asylum seekers.

Some 515 individuals have been evacuated from Libya to the centre to date, with eight children being born at the centre and registered in Rwanda. Some 248 asylum seekers are currently still in Gashora, while 273 asylum seekers have departed for third countries since the transit centre was set up.

France, Norway, Sweden, Canada, Belgium have been taking in some of the asylum seekers, but UNHCR continues to call upon other countries to come forward and resettle the remaining asylum seekers.

When asked about the possibility of local integration, Elise Laura Villechalane, the UNHCR external relations officer, told The East African that it is a possibility but for now most of the asylum seekers are being processed to be resettled in other countries as that is what they prefer.

She also said UNHCR has resources to run operations this year, “but there is zero visibility regarding resources for next year”.

“The good news is that UNHCR got re-assurances that the parties involved, like the AU, EU and Rwanda, agreed to renew the mechanism mandate for a few more years, upon expiration of the agreement in September 2021.”

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,908
2,000
2008(kama sikosei kutokana na chuki za kikabila) tulipokea wakimbizi kutoka kenya
2001 mpaka 2003 makambi ya wakambizi kutoka burundi yalifurika wakimbizi hapa nchini
Miaka ya 2014 kama sikosei kikwete alifurumusha wahamiaji haramu kutoka hako kanchi unakokasifia.
Majeshi yetu yapo DRC
NOW WHO IS GIANT hapa eastafrica?
Ulipata kusikia habari za kukomboa visiwa vya hapo jirani?

Kila kitu kipo calculated hatwendi kichwa kichwa muda ukifika mashujaa wetu watatimba huko na habari mtazipata.
 
Magaidi wa Msumbiji wamechinja wanavijiji wenu bado mnasema mnafanya "calculations".....hehehe!!!
Rwanda kainchi kadogo ila Kagame ameweza kuonyesha anastahili kuwa rais wa Afrika, amepambana na magaidi kuanzia Somalia hadi Msumbiji, hajakunja mkia...sasa ndiye huyu anapokea wakimbizi kutokea Libya, hapa katupiga bao hata Wakenya.

Hebu soma huu uzi hapa chini, yaani kainchi kake kadogo hata hakajifikia saizi ya mkoa wenu wa Kagera ila mahesabu yake ni ya mbali sana Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?
 
Nchi yako inaruhusu dual citizenship? Hamia rwanda
 
Teknologist

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,079
2,000
Hii nchi yangu Tanzania kwenye vita ni fisi za ,
Tulitia aibu DRC Congo wanajeshi wa Tanzania walivyo chinjwa kama kuku na vitoto vidogo vya Kitusi, na ndio beefu ya Kikwete na Kagame ikaanzia hapo
na ukweli wa Uganda Idd Amini alikimbizwa na waasi wa Uganda, ndio tukapata nafuu ya kumalizia, na tulivyo toka hapo, uchumi wetu ulikuwa sawa na mkoa wa Kagera, Tukaenda kuomba chakula Marekani, tukapewa mahindi ya njano, na kupata chakula cha mgao nchi nzima ndio ikawa DUKA LA KAYA
Akarupuka Mmasai, na kuanza kukamata watu wanarudi kutoka Kenya na ka Colgate kamoja akiwaita Wahujumu Uchumi. ilikuwa ni kutafuta mchawi kuwahadaa Watanzania ambao kwa ujumla maisha yao kila siku ni kutafuta mchawi wa umasikini wao badala ya kufanya kazi na kujituma.

Na Mozambique hatuendi tunaoogopa na huo ndio ukweli wenyewe.
 
ngome1838

JF-Expert Member
Feb 20, 2019
652
1,000
Magaidi wa Msumbiji wamechinja wanavijiji wenu bado mnasema mnafanya "calculations".....hehehe!!!
Rwanda kainchi kadogo ila Kagame ameweza kuonyesha anastahili kuwa rais wa Afrika, amepambana na magaidi kuanzia Somalia hadi Msumbiji, hajakunja mkia...sasa ndiye huyu anapokea wakimbizi kutokea Libya, hapa katupiga bao hata Wakenya.

Hebu soma huu uzi hapa chini, yaani kainchi kake kadogo hata hakajifikia saizi ya mkoa wenu wa Kagera ila mahesabu yake ni ya mbali sana Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?
Nchi haifanyi maamuzi kwa kufuata mkumbo wala kwa hisia.Msumbiji kama Tanzania tumewasaidia sana.au hulijui? Ila sasa tunalinda mipaka yetu.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,542
2,000
Hii nchi yangu Tanzania kwenye vita ni fisi za ,
Tulitia aibu DRC Congo wanajeshi wa Tanzania walivyo chinjwa kama kuku na vitoto vidogo vya Kitusi, na ndio beefu ya Kikwete na Kagame ikaanzia hapo
na ukweli wa Uganda Idd Amini alikimbizwa na waasi wa Uganda, ndio tukapata nafuu ya kumalizia, na tulivyo toka hapo, uchumi wetu ulikuwa sawa na mkoa wa Kagera, Tukaenda kuomba chakula Marekani, tukapewa mahindi ya njano, na kupata chakula cha mgao nchi nzima ndio ikawa DUKA LA KAYA
Akarupuka Mmasai, na kuanza kukamata watu wanarudi kutoka Kenya na ka Colgate kamoja akiwaita Wahujumu Uchumi. ilikuwa ni kutafuta mchawi kuwahadaa Watanzania ambao kwa ujumla maisha yao kila siku ni kutafuta mchawi wa umasikini wao badala ya kufanya kazi na kujituma.

Na Mozambique hatuendi tunaoogopa na huo ndio ukweli wenyewe.
Ni hivi serikali zote za kisoshalist zina propaganda nyingi kuliko matendo.
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,939
2,000
Magaidi wa Msumbiji wamechinja wanavijiji wenu bado mnasema mnafanya "calculations".....hehehe!!!
Rwanda kainchi kadogo ila Kagame ameweza kuonyesha anastahili kuwa rais wa Afrika, amepambana na magaidi kuanzia Somalia hadi Msumbiji, hajakunja mkia...sasa ndiye huyu anapokea wakimbizi kutokea Libya, hapa katupiga bao hata Wakenya.

Hebu soma huu uzi hapa chini, yaani kainchi kake kadogo hata hakajifikia saizi ya mkoa wenu wa Kagera ila mahesabu yake ni ya mbali sana Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?
We jamaa akili unazo ila ziko wima wima ,nchi ya watu60 mil+ sio ya kukurupuka kimaamuzi Kama uyo lol model wako kagame.sio kila issue iki rise basi na sisi tuchukue maamuzi, unaweza uka i cost yako.
Kila wakati nakuombea uwe na akili lakini jitihada zangu zmegonga mwamba
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,901
2,000
We jamaa akili unazo ila ziko wima wima ,nchi ya watu60 mil+ sio ya kukurupuka kimaamuzi Kama uyo lol model wako kagame.sio kila issue iki rise basi na sisi tuchukue maamuzi, unaweza uka i cost yako.
Kila wakati nakuombea uwe na akili lakini jitihada zangu zmegonga mwamba

Hehehe!! Unachekesha bana.... Utachoka sana kuombea watu humu kwamba lazima kila mtu humu ajishushe na kuwaza uwazavyo.

Nyie endeleeni kusubiri na kukaa vikao vya kutafakari na kutathmini na kudadavua kama kuna uhitaji wa kufanya maamuzi ilhali wavaa makobazi wa kutokea Msumbiji wanaingia kwenu na kuchinja wanavijiji.
Kagame amefanya maamuzi ya kuwahisha wanajeshi wake wawakingie kifua, yeye jeshi lake sio la mapambo, yaani sio la kuonyesha ubabe wa kupasua matofali siku za maadhimisho tu.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
12,445

Mkuuu cha kujiuliza, Kenya ni kubwa kuliko Rwanda, imechukua waLibya wangapi?
Vichwa vingine bana. Vimebakia na akili ya kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
🤣🤣🤣
 
Naona katika dua zako, unapenda sana iwe kama the way you wish.
Tanzania ni imara, kulinganisha na nchi nyingine yoyote ukanda huu. Na kwa taarifa yako. Tulijihusisha sana na vita kote kote ukanda huu bila kuangalia hasara. Sasa tumechukua muelekeo mpya. Tutapigana pale inapolazimu kwetu, siyo inapolazimu kwa nchi nyingine.

BTW jiandae kwenda bongo kushangaa na kupanda double decker electric SGR.
🤣🤣🤣
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,939
2,000
Mkuuu cha kujiuliza, Kenya ni kubwa kuliko Rwanda, imechukua waLibya wangapi?
Vichwa vingine bana. Vimebakia na akili ya kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
Huyu jamaa yetu mk 254 ni wazi anaonekana anashida ,Kama sio ya kimaisha basi ubongo wake utakuwa hauna ushirikiano na maamuzi (psychological problems)
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,901
2,000
Naona katika dua zako, unapenda sana iwe kama the way you wish.
Tanzania ni imara, kulinganisha na nchi nyingine yoyote ukanda huu. Na kwa taarifa yako. Tulijihusisha sana na vita kote kote ukanda huu bila kuangalia hasara. Sasa tumechukua muelekeo mpya. Tutapigana pale inapolazimu kwetu, siyo inapolazimu kwa nchi nyingine.

BTW jiandae kwenda bongo kushanga na kupanda double decker electric SGR.
🤣🤣🤣

Uimara ni pale wanavijiji wanaishi kwa amani bila uwoga, ila sasa wenu hao wanachinjwa na magaidi ambayo mumeogopa kutoa ushirikiano kuwaangamiza, nyie mnataka wanajeshi wenu waonyeshe tu ubabe wa kupasua matofali kwenye maadhimisho.

La SGR naona linakubabaisha sana maana umeganda Buza....hehehe!! Sisi tumeteleza kwa SGR sijui mwaka wa ngapi sasa, tumeingiza hela hadi basi.
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,939
2,000
Hehehe!! Unachekesha bana.... Utachoka sana kuombea watu humu kwamba lazima kila mtu humu ajishushe na kuwaza uwazavyo.

Nyie endeleeni kusubiri na kukaa vikao vya kutafakari na kutathmini na kudadavua kama kuna uhitaji wa kufanya maamuzi ilhali wavaa makobazi wa kutokea Msumbiji wanaingia kwenu na kuchinja wanavijiji.
Kagame amefanya maamuzi ya kuwahisha wanajeshi wake wawakingie kifua, yeye jeshi lake sio la mapambo, yaani sio la kuonyesha ubabe wa kupasua matofali siku za maadhimisho tu.
Hao wanakijiji wanaochinjwa sijui wako wapi ?.Tuko vizuri ndugu ,sisi tuna defend kwanza mashambulizi ni mipango dhabiti.Ndio Mana bajeti kubwa mnaweka kwenye ulinzi lakini kila uchwao Alshabab wanawatwanga,sababu mnakurupuka.Aya na nyie muwapokee walibya nchi yenu Si kubwa
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,939
2,000
Uimara ni pale wanavijiji wanaishi kwa amani bila uwoga, ila sasa wenu hao wanachinjwa na magaidi ambayo mumeogopa kutoa ushirikiano kuwaangamiza, nyie mnataka wanajeshi wenu waonyeshe tu ubabe wa kupasua matofali kwenye maadhimisho.

La SGR naona linakubabaisha sana maana umeganda Buza....hehehe!! Sisi tumeteleza kwa SGR sijui mwaka wa ngapi sasa, tumeingiza hela hadi basi.
Ko kuteleza kwenye SGR Kwa muda mrefu ndo kumekufanya uweje labda.kila kitu ni mipango,nyie mmeanza sisi tunajikongoja tutafika .ukitaka kupata kila kitu Kwa haraka lazima uta risk mambo mengi.Rwanda washazoea kuzulula nchi Kama congo kufanya upolaji wa Mali ,sisi tushazulula nchi nyingi kufanya ukombozi.sasa jambazi na mkombozi akili hazifanani ,kagame sio boya apeleke wanajeshi msumbiji anajua anachotaka
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,901
2,000
Hao wanakijiji wanaochinjwa sijui wako wapi ?.Tuko vizuri ndugu ,sisi tuna defend kwanza mashambulizi ni mipango dhabiti.Ndio Mana bajeti kubwa mnaweka kwenye ulinzi lakini kila uchwao Alshabab wanawatwanga,sababu mnakurupuka.Aya na nyie muwapokee walibya nchi yenu Si kubwa

Aisei!! Kumbe wewe nawe ndiye zero kabisa kwenye taarifa, huna habari magaidi 300 waliingia kwenye nchi yako na kuchinja wanavijiji, maana kwamba upo upo tu, ila napenda namna huwa mnavyokua, kwamba hata mzinguliwe kivipi huwa mnajiaminisha amani amani na maisha yanaendelea, nahisi inasaidia mpaka magaidi wanaona huruma na kujiendea zao.

CHeck video ya mkuu wenu wa polisi akielezea namna magaidi walivamia

Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,939
2,000
Aisei!! Kumbe wewe nawe ndiye zero kabisa kwenye taarifa, huna habari magaidi 300 waliingia kwenye nchi yako na kuchinja wanavijiji, maana kwamba upo upo tu, ila napenda namna huwa mnavyokua, kwamba hata mzinguliwe kivipi huwa mnajiaminisha amani amani na maisha yanaendelea, nahisi inasaidia mpaka magaidi wanaona huruma na kujiendea zao.

CHeck video ya mkuu wenu wa polisi akielezea namna magaidi walivamia

Yaani unanishangaza unasema kuchinjwa ,nlikuwa mtwara mjini tukio wakati linatokea.Unavyoli zoom na jinsi tukio lilivyotokea vitu viwili tofauti.Ilo tukio sio big issue Kama unavyovimbisha mishipa kulishupalia,JWTZ walifanya yao saizi kambi zipo mitaa hiyo na walikimbizwa hao vibaka wakakimbilia kwao uko.punguza mihemko utakufa mirungi na githeri utaiacha, Bado inakuitaji.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
12,445
2,000
Uimara ni pale wanavijiji wanaishi kwa amani bila uwoga, ila sasa wenu hao wanachinjwa na magaidi ambayo mumeogopa kutoa ushirikiano kuwaangamiza, nyie mnataka wanajeshi wenu waonyeshe tu ubabe wa kupasua matofali kwenye maadhimisho.

La SGR naona linakubabaisha sana maana umeganda Buza....hehehe!! Sisi tumeteleza kwa SGR sijui mwaka wa ngapi sasa, tumeingiza hela hadi basi.

Yaani unasumbuka sana kuona tuko na utulivu na amani na uimara ambao haumithiriki. Wewe usivyo na hata chembe ya soni, kenya ambayo imeoza, ambayo alshabab wanawafanya wanavyotaka. Halafu unakuja hapa unanyanyua mdomo wako, eti wanavijiji wanauawa. Tuweke takwimu hapa kati ya Tanzania na Kenya nani ni hot bed for terrors!!!?
Unavyochangia hapa uwe unatumia hata akili. Vinginevyo msemo huu, holds water for you... "siyo kila mzee ana busara na hekima, hata wajinga wanazeeka".
 
Sisumbuki naona huruma maana huniumiza kila nikisoma taarifa za magaidi kuchinja popote duniani, na haswa kwa nchi ambao mnafukia vichwa ardhini.
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,939
2,000
Sisumbuki naona huruma maana huniumiza kila nikisoma taarifa za magaidi kuchinja popote duniani, na haswa kwa nchi ambao mnafukia vichwa ardhini.
We jamaa unataka kuibuka mshindi ili kuupoza msongo wa mawazo unaokuandama ,na sie hatuna hiana acha tukubali unachotaka Mana tushajua ni mtu wa aina gani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom