Habari zenu wanajf.
Nahitaji msaada wa kupata kifaa kwa ajili ya matumizi ya camcard kwa samsung tv.
Kuna port nyuma ya TV lakini inahitaji adapter ili kupokea Camcard.
Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata kwa hapa Dar nitashukuru kupata mawasiliano yao.
Asanteni.
Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana
Uiengereza ina wajibu wa kufanya hivyo ikijua kwa sasa haina uwezo kuisaidia India wakati yenyewe...
Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo
Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
Wewe una kipaji cha U Mc( Ushereheshaji?)
Haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako?
Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA Sana kwako.
Maduskodusko Entertainment Promotion tuna manage Ma Mc wenye vipaji kwa kuwatafutia events mbalimbali za Ku perform ndani na nje ya jiji la...
Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania...
Natumaini nyote wazima, naomba kujua gharama za kupatata Hati ya kiwanja ambacho kimeshapimwa na kupatiwa block number, kiwanja kipo chanika. Au kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata nitashukuru
Natanguliza shukrani
RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima.
Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama.
Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo.
Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP
Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha
Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY.
Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya?
Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu wengi wanapona kwa gharama ndogo sana.
Nimefanya kazi na brand za afya, Ila 👇👇
Unakuta mtoa...
Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
[4/25, 13:22] Dr Rwakiunge Anointing Oil For Everything: Yes, hilo linawezekana tena kwa urahisi sana.
Kwenye mada yetu ya Nguvu za Ziada (Paranormal abilities) tutakayoanza kuisoma mapema wiki kesho, tutajifunza mengi sana na hilo likiwemo ili wanaotaka kufanya bilocation wafanye na huo ndio...
Hello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani...
Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia.
Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
Title ya Uzi (Mada):
Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania
Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania.
Maswali yangu makuu ni:
Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato?
Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
Title ya Uzi (Mada):
Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania
Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania.
Maswali yangu makuu ni:
Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato?
Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
Je Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?
wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe .
Pole sana na karibu Mfugo plus group...
Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.