Wakubwa habari za wakati huu.
Kijana wenu bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya ili kukimu mahitaji ya familia yangu.
Naelekea kukata tumaini la kuishi kabisa,...Mniombee
Elimu yangu Ni ya secondary,na Nina ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ustadi Sana.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya...
Habari wanajamii forum,
Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
Habari wanajamii forum,
Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam.
Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba...
Magaidi wa Hezbollah baada ya wao jana kuishambulia Israel leo hii majeshi ya israel yamewalenga makamanda wa Hezbollah waliokuwa wakisafiri kutumia gari. Ikimbukwe kuwa magaidi wa Hezbollah walilemazwa na Operation Beeper 📟 ambayo ilisababisha wao kupi Gish wa magoti kwa kuwepo Ceasefire ambayo...
Naibu waziri wa sanaa, utamaduni na michezo, hamisi Mwinjuma almaarufu MWANA FA.......kipindi cha huko nyuma alishawahi kutoa hii nyimbo inaitwa KAMA ZAMANI FT MAN DOJO NA DOMOKAYA
Hii ni ngoma kubwa sana na inayoishi na alitumia akili kubwa sana, kuanzia kuandika production na kila kitu kama...
Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu.
Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema:
Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata kiongozi ambaye unamtaka, kutopiga Kura kunaweza kukufanya kupata Kiongozi ambaye...
Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi
Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na wengine hupendelea polish tu ama cilla
Sasa kuna hii teknolojia nyingine ya kuunguza ubao ama kuuchoma...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki.
Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki.
Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
Sio kwa Ubaya.
Braza ameondoka Mercedes kaenda Ferrari, mikwara mingi sana ila sijui hajaizoea F1-75.
Yote 9, msimu wa 2025/26 ndio tumeuanza hivyo Australia leo na matokeo ndio kama haya.
Tukutane China tar 23.
Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa...
Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi.
LAKINI…
Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7
HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu sahihi, basi Mental Therapy Scanner ni kwa ajili yako.
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7...
1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu.
2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa kabisa kwa mimea inayopenda udongo wa asidi kama vile waridi au blueberries.
3. Maganda ya mayai yaponde...
Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000?
Economic value ya kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.