kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata kazi remotely job mlifanyaje

    Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo ni entry jobs ambayo wanatoa mpaka training kuipata ni changamoto nashindwa kuelewa kuna sehemu...
  2. JamiiForums Tanzania Je Israel wana hitami kupata Ndege-vita ya kimkakati B-2.?

    Je Israel wanataka Ndege vita za kimkakati B-2? Netanyahu: Bila shaka tungependa kuwa nao! Lakini tunashukuru msaada wote tunaopokea kutoka Amerika.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Yezebeli kupaka wanja na kujipamba baada ya kupata habari za uhaini, aliutoa wapi?

    Salaam, Shalom! Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia. Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme, Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni...
  4. JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi vitabu original vya Torati, Zaburi na Injili ambavyo havijapotoshwa/kuchakachuliwa?

    Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
  5. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata mabadiliko iwapo mtesi wetu anakula na kushiba ni lazima afinywe na kukerwa ili akubali kukaa mezani na kujadiliana

    Katika nchi iliyokubali kuwa na vyama vingi vya siasa lakini katiba yake bado ni ya chama kimoja. Ili viongozi wao wawe bora ni lazima wapitishwe kwenye chuo cha Uongozi kilicho mkoa wa Pwani ambacho kinafadhiliwa na Jamhuri ya watu wa China. Chama kina viongozi wanaoamini upinzani ni uahaini...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

    Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata solar

    Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Je ni wapi naweza kupata solar kwa ajili ya kazi hizi kwa bei poa
  9. JamiiForums Tanzania Leo naona wafuasi wa Gwajima walijitahidi kuwabishia polisi wakidhani huo ndio utaratibu wa kubishana na mamlaka na kupata haki yao

  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Na Baadhi ya Watu Wengine Wangewaachia na Kuwaunga Mkono Vijana Kupata nafasi za Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kutovunjwa bunge Leo Hadi hapo August, ni ishara ya kufanyika reforms kupata katiba mpya?

    Salaam! Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu, Sasa Nini kimelengwa hapo? Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi? Karibuni 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie jinsi ya kupata mtaji, nimekwama sana

    Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki. Naamini nikipata kiasi hiko kitakuwa game changer kwenye maisha yangu. Mimi ni mtu mzima niliye kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kwa njia ya mtandao?

    Habari wana jf Nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wamekuwa wakiongelea issues za kuingiza pesa kupitia mtandao kama vile freelancing,upnetworking e.t. Sasa nimetamani sana kujua na kujifunza zaidi michakato hiyo kwa sababu nahisi mwanga ila nipo gizani.naweza kupata mtu wa kunishika mkono?
  14. JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kadi ya NHIF ikipotea ilipiwe 20,000 kupata nyingine?

    Huu ni wizi kwani kadi hiyo siyo smart na ina namba kwanini zisitumike namba tu kumtambua mteja iwapo kapoteza kadi. Kila kitu serikali imegeuza kitega uchumi tutafika kweli?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa mama unanukia; muda wa kupata uteuzi na utenguzu huu hapa. Je utakumbukwa? Wangapi kuondoshwa?

    Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge. Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine. Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mliobahatika kupata vitu vizuri kwenye mnada unaoendelea pale Bunju mianzini naombeni mrejesho

    Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kupata access ya mtandao wa X?

    Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani. Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa. Ahsante.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Biashara ya Mbuzi imekuwa kama Pembe za Ndovu, baadhi ya mikoa ni ngumu sana kupata

    NRNE Wakuu habari za hapo juu. Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…