Tabia ya ushikwambi inawafanya watu kutokuachana na nyumba za kupanga

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga.

Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na wapangaji wanaona wakijenga na kuishi kwao hawatapata michepuko.

Kuna watu walishazoea yale maisha ya kuangalia kanga na taulo za wapangaji wamefikia hatua ya kutokuachana na nyumba za kupanga kabisa yani imekuwa kama ulevi kwao.
 
Back
Top Bottom