kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali bei ya nauli ya SGR kupanda kila mara?

    Nauli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yapanda kimya kimya kutoka Sh 13,000 hadi Sh 13,500 – licha ya kutumia umeme badala ya mafuta Soma Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026 Katika hali ya kimya isiyoambatana na maelezo kwa wananchi, Shirika la...
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Intelligent businessman na Half american kupanda ulingoni kuzichapa 😎. Pambano la monetary doctor dhidi ya poor brain laahirishwa kisa UE.

    Ni msimu wa ndondi!! Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani. Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Dollar kunavyoongeza Deni la Taifa

    Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa? Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo . Sasa...
  5. Adiya5

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

    Habari za muda huu watanzania, Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege...
  6. Winniek

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya shingo gesi kupanda shingoni

    Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu. Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata maumivu shingoni, kuna muda mdomo unakuwa mchachu kama ana homa. Kaenda hospitali, kapigwa X-ray na...
  7. Kichaka12

    JamiiForums Tanzania Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji. Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo. 1. Uelewa mdogo wa mfumo Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
  8. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa la Marekani lazidi kupanda

    If foreign markets don’t trust the US gov’t debt instruments what gov’t do they trust more. 1. United States. • GDP (2023, nominal): ~$25.5 trillion (world’s largest economy). • National Debt (2023): ~$31.4 trillion • Debt-to-GDP Ratio: ~123% (2023). 2. Japan • GDP (2023, nominal): ~$4.2...
  9. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupanda daladala ya madereva wanaokimbizana?

    Kuna muda ni vyema kuyakubali mabadiliko ili kileta tija na ushindani katika sekta zetu za maisha,wakati mwengine akili ya binadamu ipo based on benefits bila ya kucompare athari ya hatua anazozichukua. Jana nimepanda daladala ya kutoka mbezi - Karikoo mida flani ya saa 7, kulikuwa na gari 2...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto wa Elon Musk na Babu Trump wakionekana na furaha tele wakielekea kupanda Helikopta

    jina lake ni Little X
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KITIMOTO KUPANDA BEI WAKATI WA MFUNGO MNATUAMANISHA NN 11000-15000..SERIKALI MTUSAIDIE

    Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
  13. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Leo ndio itakuwa mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi

    Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
  14. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea, leo ndiyo mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi🙌

    Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu. Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi. Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40. Ikaja gari...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki abariki wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM. Kwa sababu yanawanufaisha.

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X. "Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!! Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

    Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita. Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mliozaliwa 1965, 1975, 1985, 1995, 2005 huu ndio mwaka wenu wa kupanda ghorofa / floor mpya

    2005 - second floor, mmekuwa teenagers tangu 13 (thir-teen) hadi 19 (nine-teen), karibuni 20s 1995 - karibu ghorofa ya tatu, najua umestuka sana jinsi miaka ilivyoenda speed, 1985 - 4 th Floor, ujana kwaheri japo mtaufosi 1975 - 5th floor, hongera umeishi nusu karne 1965 - 6 th Floor, Anza...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna members hapa jamiiforum hawajawahi kupanda usafiri wa bodaboda

    Je kuna watu kabisa katika maisha yao hawajawahi kupanda boda ?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli holela za daladala

    Habari, kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa abiria tunaoshuka njini kwa kupanda daladala za kutoka bohongwa kwenda usagara tunalazimiashwa kulipa nauli nauli kamili bila kujali tunashukia njini tena nusu ya safari, tunaomba mamlaka ziangalie jambo hili kwani zinaumiza kwa wanaoishia njiani.
Back
Top Bottom