LATRA na kupanda kwa nauli

LATRA na kupanda kwa nauli

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
5,025
Reaction score
7,632
Nimeona tangazo LATRA inataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani, wao wanawaza kupandisha nauli.
 
Nimeona tangazo LATRA wanataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani,wao wanawaza kupandisha nauli....kkmae
Kiukweli ccm ni janga kumbe!!!
Au Bus nyingi za Abiria ni zao? Aisee hawana huruma hata kidogo
 
Juzi tu hapa nakumbuka nauli zilipanda na mafuta yalishuka na nauli hazikushuka! Muwe na huruma kwa raia wenu nyie watu.
 
Nchi ya kipuuzi sana chini ya utawala wa ccm. Gharama za maisha zinazidi tu kupanda huku wananchi walio wengi wakiendelea kutaabika kwa ugumu wa maisha.
 
Wamepandisha 1000 kwa lita moja hata wakipewa bure mafuta huko Iran hawataweza kushusha hiyo bei..
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mbona mafuta yakishuka nauli hampunguzi? Halafu msimzoee uyu Rais wasasa,mbona magufuli aliwaambia pakini magari kama mnapata hasara mbona mlikaa kimya? Serikali embu watakaogoma sitisheni leseni zao maana hiki ni kipindi cha mpito je? Mafuta yakirud watakubali kurudi kwenye bei ya zamani?
acha tuangalie nini kinatokea
 
acha tuangalie nini kinatokea
Yaani LATRA kwenye kuwasikiliza wamiliki wa Mabus ili nauli ipande wapo fasta mnoo! Ila mafuta yanaposhuka karibia kwa 40% Wala hawapo kuwatetea wananchi nauli zishuke na hutowasikia,na wamiliki wa Mabus watakuambia spare pia zipo juu! Hii Nchi Ina uongozi wa hovyo sana. Wananchi hawatetewi,wanatetewa wafanyabiashara
 
mwananchi hii nchi hajawahi kua na chake, sisi ni kusindikiza taifa tu
 
Back
Top Bottom