MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema kuwa kupanda kwa bei ya Mafuta ya sasa haiathiri nauli hivyo nauli zitaendelea kubaki vile vile.
Suluo ameongeza kuwa nauli zinaweza kupandishwa ikiwa bei ya Mafuta itapanda kwa kiwango kikubwa...
Nimeona tangazo LATRA inataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani, wao wanawaza kupandisha nauli.
Aweeee,
Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa!
Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Akitoa kauli hiyo...
Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?
Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika:
1. Kujenga viwanda vya...
Ndugu zangu wale wenye magari yanayobugia wese tutapaki Tu mwaka huu, Kwa vipato hivi vya kuungaunga kazi itakuwepo mwaka huu endapo vita ya Huko mashariki ya Kati kama itachukua mwaka mmoja.
Jana nilikuwa na mkurugenzi mmoja wa kituo cha mafuta akaniambia nijipange na bei hii mpya ya Tsh 3,500...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema:
“Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee .
Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea.
Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini.
Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
Siku 9 kwenda D9
Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei
Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao
Baadhi ya kampuni za mabasi zimeondoa ratiba ya kuanzia tarehe 7
Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
Habari za muda huu wajuzi wa mambo.
Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali.
Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa kabla...
Habari za muda huu wajuzi wa mambo.
Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali.
Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa...
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani.
Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
Salaam!
Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.
Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi...
Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi.
Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.