Kwa aina ya kazi na majukumu ninayofanya na pia kwa utashi wangu binafsi huwa naona na familia yangu hasa watoto kwa nadra sana.Pamoja na kwamba huwa tunaonana kwa nadra mimi na watoto wangu tumejifunza namna bora ya kutumia muda mchache tunaokuwa pamoja kikamilifu.Nipatapo nafasi huwa nawapigia...