kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Afrika kwenye kundi la G20 ni hatua muhimu kwenye kuongeza sauti ya Afrika kwenye jukwaa la kimataifa

    Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo lilipoanzishwa mwaka 1999, likiwa na nchi wanachama 19 + Umoja wa Ulaya, wakati wote mambo yanayohusu mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Azindua Bodi Mbili, Azipa Jukumu la Kuongeza Mapato

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amezindua Bodi ya Hakimiliki Tanzania (COSOSTA) na Bodi ya Bodi ya Filamu Tanzania na kuwataka Wajumbe wa Bodi hizo kuhakikisha sekta ya Sanaa inatoa ajira za kutosha na wananchi wanafaidi matunda ya kazi zao. Waziri Dkt. Ndumbaro...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mkopo wa kuongeza kwenye biashara yangu

    Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii. Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio nimeenda bank wanataka cash flow ambayo mimi sina. Msaada tafadhari.
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Azitaka Taasisi Kuongeza Wadau wa Ushirikiano

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AZITAKA TAASISI KUONGEZA WADAU WA USHIRIKIANO Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameziagiza Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kuongeza wadau wa ushirikiano nje ya Serikali ili kutimiza mahitaji ya wananchi katika Sekta za Utamaduni, Sanaa na...
  5. JamiiForums Tanzania Lengo ni kuongeza kasi ya usimamizi katika kila kona na si Vinginevyo!

    Waota njozi wamekuwa na tafsiri 1001,lakini lengo kuu ni usimamizi thabiti, wakati mwingine ngombe bila bakora haendi.
  6. JamiiForums Tanzania Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  7. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Ni haki na wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha rasilimali za nchi yake hazichezewi hovyo.Nawapongeza nyote munaotoa maoni yenu ya kuukosoa huu mkataba ila chonde chonde, tujitahidi kuongeza umakini tunapokosoa. Kikawaida,imani ina nguvu sana kwenye suala la ushawishi. Unaweza kushangaa mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lakanusha Wanajeshi wa Ngazi ya Juu Kuongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie wazo la kuongeza biashara

    Nafurahi na napendezwa sana kuwa kuwa ndani ya jukwaa hili Binafsi nafanya kazi ya kusajili laini za mitandao yote, kurudisha line zilizopotea na kutatua matatizo mbalimbaki ya simu za wateja kujipatia kipato. Nimefanya kazi hii almost miaka 03 sasa nipo Chato mkoani Geita japo mzunguko sio...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kutimiza lengo la kuongeza biashara na Afrika kwa kuilenga China

    Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha malighafi ya viwanda vya mafuta ya kupikia kuongeza uzalishaji kutokana na uwepo wa viwanda vingi vya...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima

    Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili kusaidia kuchakata na kuongeza thamani mazao yanayolimwa nchini ikiwemo matunda kwa mahitaji ya soko la...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FCS: Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo na uzalishaji

    Mkurugenzi wa Foundation For Civil Society (FCS) Francis Kiwanga, amesema kuwa Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo pamoja na kuwawezesha Watanzania kuongeza uzalishaji, kutafuta masoko na hatimaye kukuza vipato vyao. Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society...
  14. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu

    Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu ni jambo muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Hatua za kuboresha uwajibikaji zinahitaji kufanywa katika ngazi zote za mfumo wa elimu, kutoka kwa serikali na taasisi za elimu hadi kwa walimu, wanafunzi, na wazazi. Katika makala hii...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika nafasi za kuteuliwa

    Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama zimekuwa za kisasa zaidi na wanafunzi takriban 100,000 wanajiunga na vyuo vikuu kila mwaka, nchi yetu...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Tutumie maji chini ya ardhi kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji

    Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa mijini na vijijini, Serikali inatekeleza miradi ya maji...
  17. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uliwengu wa kidigitali katika kuongeza ufanisi wa kiutendaji(Sensa & Kupiga kura)

    MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIGITALI KATIKA UCHAGUZI & SENSA YA WATU NA MAKAZI. Miongoni mwa mambo mazito katika utekelezaji ususani kwa nchi zinazoendelea ni maswala mazima ya kuendesha na kusimamia zoezi la uchaguzi pamoja na sensa za watu na makazi. Gharama nyingi sana utumika kusaidia...
  18. JamiiForums Tanzania Mkakati wa Kuongeza Vyanzo vya Fedha kwa Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Asasi za Kiraia (AZAKI) katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, zinategemea ufadhili wa ndani na nje ili kutekeleza miradi na mipango. Vipaumbele vya wafadhili vimekuwa vikibadilika mara kawa mara, hali iliyopelekea upungufu wa ufadhili kwenye baadhi ya sekta. Ushindani miongoni mwa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo

    "Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo" Andiko hili linahusu umuhimu wa kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo na ufugaji ili kuleta mabadiliko chanya na maendeleo endelevu. Inalenga kutoa ufahamu kuhusu jinsi mifumo ya kilimo na ufugaji inavyoweza...
  20. JamiiForums Tanzania Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

    Habarini? Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…