kuondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

    Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu? Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao. Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga...
  2. Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

    Harmonize aliondoka kwa Milioni 500 Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500 Zuchu bilioni 5. Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ? Is it fair?
  3. Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

    Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
  4. Maisha ya soka: Eden Hazard kuondoka Real Madrid. Wakubaliana kuvunja mkataba

    Real Madrid na Eden Hazard wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mchezaji huyo kuanzia Juni 30, 2023 huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja Hazard aliyejiunga Madrid kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 150, amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara yaliyomfanya kutofikia kiwango chake...
  5. Njia pekee Feitoto kuondoka Yanga bila makubaliano/kuuzwa ni kustaafu soka

    Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
  6. Nitumie nini ili niweze kuondoka haya madoa kwenye viatu vyangu

    Habari I Wakuu Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu kutoka licha ya kuosha vizuri hvyo viatu na kuspray dawa yake official ya kiatu cha ngozi kama hicho...
  7. Bakhmut bado kizaazaa, Wagner wanatafuta sababu za kuondoka

    Kuna siku walisimika bendera usiku wakasema wameiteka Bakhmut yote, siku chache kiongozi wao akaanza kulia lia silaha, akaahidiwa silaha, juzi ghafla akasema wanajeshi wa Urusi wanakimbia mapambano na kwamba hii itasababisha Wagner kuzingirwa, huyu leo ameibuka na kusema Bakhmut yote wameichukua...
  8. Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

    Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza. Kutokana na hilo kwa mujibu wa taarifa nilizopata ni kuwa kuna baadhi ya ofa watazifikisha Msimbazi kumhusu Mteja...
  9. Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  10. Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?

    Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?
  11. Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

    Habari wadau, Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
  12. Aliyekua Mgombea Urais Nigeria adai analazimishwa kuondoka Nchini humo

    Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi amesema Majaribio ya kuwadanganya Wananchi ni ya kusikitisha. Licha ya kutoweka wazi ushahidi wa madai yake, Obi amesema Serikali imekuwa ikifanya kila namna kupoteza ukweli juu ya Wizi wa Matokeo ya...
  13. Huyu Jenista Mhagama kuondoka Utumishi ilikuwa suala la muda tu!

    Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku. Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na wateule, na hivyo kumuaibisha sana mheshimiwa Rais Samia, nikajua kuna tatizo na mchakato na mamlaka za...
  14. Marekani yaagiza Raia wake kuondoka nchini Urusi haraka

    Onyo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Antony J. Blinken, muda mfupi baada ya #Russia kumshikilia Mwandishi wa Habari wa #WallStreetJournal ambaye ni raia wa Marekani akidaiwa kuwa ni Jasusi Serikali ya #Marekani imesema inamesiliana na WSJ kuhusu sakata hilo na tayari imeanza kutafuta njia...
  15. S

    Simba Kuondoka Leo Tayari Kuikabili Raja Morocco

    Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.
  16. Watu sahihi kwenye mapenzi nao wana akili wakati wa kuja wana kuja na wakati wa kuondoka ukifika wanaondoka pia

    Salaam JF Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez wanaopita kama mwewe. Uhuru ni wako na Akili ni yako pia. Chagua wewe wakati hausubiri ila akili pungufu...
  17. Tetesi: Baraza la Ulamaa lilimpa masharti Mufti Mkuu, Amuondoe Alhad Mussa, Aondoke yeye au Waondoke wote wawili

    Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake. “Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
  18. Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

    h
  19. U

    Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
  20. B

    Feisal kuondoka Yanga?

    Kazumari kamwaga unyunyu jamani. Ebu tujadili huu mkataba wa Feisali. Kwanza ni KWELI pasi na shaka yoyote kwamba Feitoto amewapa NOTISI klabu yake ya Yanga SC ya kuvunja mkataba nao. Feisal alikuwa na mkataba na Yanga SC (ambao BIN KAZUMARI imeuona) uliosainiwa tarehe 10 Agosti 2020 ukichukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…