kuondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza la Ulamaa lilimpa masharti Mufti Mkuu, Amuondoe Alhad Mussa, Aondoke yeye au Waondoke wote wawili

    Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake. “Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
  2. warzone

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

    h
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feisal kuondoka Yanga?

    Kazumari kamwaga unyunyu jamani. Ebu tujadili huu mkataba wa Feisali. Kwanza ni KWELI pasi na shaka yoyote kwamba Feitoto amewapa NOTISI klabu yake ya Yanga SC ya kuvunja mkataba nao. Feisal alikuwa na mkataba na Yanga SC (ambao BIN KAZUMARI imeuona) uliosainiwa tarehe 10 Agosti 2020 ukichukua...
  5. kadeti

    JamiiForums Tanzania Htimaye waasi wa M23 waamua kuondoka

    Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya Richuru uko Goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki, lakini mimi sioni kama hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na M23.
  6. Watu8

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

    Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa? Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ronaldo: Tangu kuondoka kwa Ferguson maendeleo ya Man United ni sifuri

    Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo). Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
  8. May Day

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa kuwaamuru Jamii moja kuondoka mkoani haijakaa sawa

    Leo asubuhi kwenye taarifa nimesikia ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Talak amewapa siku mbili Wafugaji walioingia mkoani hapo kuondoka. Kwa upande wangu sioni kama hii imekaa sawa, anachopaswa kujiuliza Kiongozi huyu ambaye ni Muwakilishi wa Raisi wa nchi hapo Mkoani kwake ni "waende wapi...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unachelewa kwenda Sudan halafu unatumia ndege ya abiria, ikibadili ratiba je?

    Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee! Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani...
  10. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Chuki yangu na trafiki imegoma kuondoka

    Huwa najitahidi sana kuwa Positive na kuwachukulia hawa watu kama wafanyakazi wengine wenye wajibu wao kisheria, lakini hawa watu wamejiweka kwenye zone yao ya ULAFI, KUKOSA UTU, TAMAA NA UPUMBAVU. Imagine hawa watu wako pale kujipatia elfu 5 na elfu 2 za watu bila huruma, hawanaga utamaduni wa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Mwanajeshi aliyeondolewa madarakani ajiuzulu na kuondoka nchini

    Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba. Damiba aliyechukua mamlaka Januari, 2022 ameenda uhamishoni nchini Togo baada ya kuhakishiwa mambo mawili, Usalama wake na kurejeshwa...
  12. Kinengunengu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za Mzungu kuondoka Simba

    Nisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather ashinda pambano la dakika 9 na kuondoka na Tsh. Bilioni 46.9

    Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan. Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda kwa KO round ya 2 na kufanya pambo hilo limalizike, Mayweather kabla ya pambano hilo alikuwa...
  14. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  15. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
  16. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuondoka Krimea

    Habar ndiyo hiyo super power kakubali yaishe. Kakosa yote.Chezea Himas wewe. KATERYNA TYSHCHENKO – SUNDAY, 4 SEPTEMBER 2022, 22:54 Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, shared intelligence that Russian occupiers have already started fleeing Crimea and stated that this was the right...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Baada ya Shem kuondoka nimeona nishughulike na Sister...asilete mchezo kabisa

    Ana ujinga mwingi sana. Masters yake na uzuri basi anaona amemaliza kila kitu. Ana ujeuri na kiburi. Watu tunakaa hapa hatuna amani. Maana imebidi nimuulize je shem akishindwa kuvumilia akaamua kumpiga chini sisi tutaenda wapi? Au akaamua kumuolea mke mwingine? Nimemchana sana na kidogo...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

    Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea. Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe...
  20. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rayvany kuondoka WCB utampelekea kupata anguko kubwa katika mafanikio yake.

    UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE: Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii mchanga. Dhumuni la Rayvany kuondoka WCB pengine ni yeye kupata mafanikio makubwa kuliko yale aliyokuwa...
Back
Top Bottom