Hapa tuseme ukweli.
Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga.
Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade.
Katika kipindi hiki cha usajili, tumezowea kuwa kipindi cha muhaho kwa pande zote mbili.
Manara akizowea kukoleza sana kwa kila...
Barcelona imethibitisha kuwa Mchezaji wao mahiri, Lionel Messi ataondoka Klabuni hapo kutokana na vikwazo vya kimfumo na kifedha (Sheria za Ligi ya Uhispania)
Klabu imesema yenyewe pamoja na Messi wamesikitishwa na hatua hiyo kwani awali pande zote mbili ziliridhia kuongeza mkataba wa Mchezaji...
Kundi la Taliban limesema halitaki kuhodhi madaraka lakini linasisitiza hakutakuwa na amani nchini Afghanistan hadi kuwepo na serikali mpya mjini Kabul na Rais Ashraf Ghani aondolewe.
Hayo yameainishwa katika mahojiano kati ya shirika la habari la Associated Press na msemaji wa Taliban Suhail...
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
barbara gonzales
haji manara
hataki
klabu
kuondoka
kwanza
lazima
likizo
mashabiki
mawazo
mbali
mgando
milioni
mkataba
mshahara
muda
sahihi
siku
siku 7
simba
wachezaji
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali.
Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekiri kwamba wanajeshi wa serikali yake wameondoka katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle baada ya miezi kadhaa ya mapigano. Kiongozi huyo amesema hatua hiyo ni kutokana na kuwa wameondoka na kuwa mji huo haukuwa tena kiini mizozo.
Afisa mwingine wa...
Habari za majukumu wakuu,
Natanguliza samahani kwa usumbufu.
Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti kambi tofauti na uliyopangwa? Na je, ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, kuna taratibu zozote ambazo...
Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.
Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza...
Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema.
Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM!
Maajabu...
Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha.
Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting.
Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo...
Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo.
Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20.
Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
Marekani imewaamuru Wanadiplomasia wake ambao sio muhimu kuondoka Nchini Chad kutokana na hofu ya kutokea mashambulio katika Mji Mkuu wa N’Djamena.
Kauli hiyo imetolewa wakati matokeo ya awali ya Uchaguzi yakionesha Rais Idriss Deby anatarajiwa kushinda na kuendeleza Uongozi wake ambao umedumu...
Wakuu habari za muda huu,
Naomba tusaidiane kujibu hili swali, na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa.
Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani?
Heshima kwenu wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station.
Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.