Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,442
3,353
Barcelona imethibitisha kuwa Mchezaji wao mahiri, Lionel Messi ataondoka Klabuni hapo kutokana na vikwazo vya kimfumo na kifedha (Sheria za Ligi ya Uhispania)

Klabu imesema yenyewe pamoja na Messi wamesikitishwa na hatua hiyo kwani awali pande zote mbili ziliridhia kuongeza mkataba wa Mchezaji huyo, uliosha mwezi uliopita

Messi aliyeichezea Barca michezo 778 na kufunga magoli 672, kutoa ‘assist’ 305 na kushinda mataji 35, anahusishwa zaidi kuhamia katika klabu ya Manchester City au PSG

E5148B79-8FD6-4A46-8D94-25CCD5D9DB7C.jpeg
=====

Despite FC Barcelona and Lionel Messi having reached an agreement and the clear intention of both parties to sign a new contract today, this cannot happen because of financial and structural obstacles (Spanish Liga regulations).

As a result of this situation, Messi shall not be staying on at FC Barcelona. Both parties deeply regret that the wishes of the player and the club will ultimately not be fulfilled.

FC Barcelona wholeheartedly expresses its gratitude to the player for his contribution to the aggrandisement of the club and wishes him all the very best for the future in his personal and professional life.
 
Hana alichopoteza. Kapata kila kitu. Barcelona nayo imefaidika, mpak chenji imebaki.

I'm waiting for La Pulga to prove me wrong, that he won't make it better unless he is at Spain and Barcelona.
 
Kuna wakati LaLiga na timu nyinginezo zilidhamiria kuhakikisha zinaisaidia Barca kuweza kumbakisha Messi pale Barca wakiamini alikuwa anaifanya LaLiga ionekane na thamani...

Sasa kama anaondoka, La Liga itarudi kuwa ligi isiyo na mvuto ukichukulia timu zao kubwa zimepigwa kiuchumi haswa na janga la Covid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom