kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Zile jezi mbovu zilizovuja kumbe ndiyo zenyewe, Sijawahi kuona jezi mbovu kama hizi

    Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema kama itakuwa ndiyo zenyewe basi avae bwana Amberruty mwenyewe, sasa imethibitika ndiyo zenyewe, Je...
  5. Leejay49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

    Good morning,. Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja..... Kila siku...
  6. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  7. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tunasubiri kuona leo mzima swichi atakuja na surprise gani, mtoto hatumwi dukani!

    Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake. Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zungu awashukuru wajumbe wa Ilala kwa kumpigia kura

    Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi...
  11. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

    Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake! Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hata moja ya mababu zako leo wakiamka na kuona umepost uzi wa kulalamika mbele za wanaume wenzako kuwa mkeo anakubania msos atakukana na kurudi kulala

    "Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri. Nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu. Na, wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu" -G. Michael Hopf
  13. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya kuona slogan yao si lolote, waigeukia CCM. Tuwapuuze

    Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga. Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa...
  15. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mattizo ya wanaume n kuona

    Moja ya matatizo makubwa sana tuliyonayo sisi wanaume siyo pesa, siyo umaarufu, wala siyo mahusiano — ni UWEZO WA KUONA. Wengi wameanguka si kwa sababu hawakuwa na upendo, bali kwa sababu hawakuwa na macho ya rohoni. Unaweza ukamuoa mwanamke anayekaa kama kondoo — mpole, mnyenyekevu, na mtulivu...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kuona Mr Kuku akienda kuwatapeli baadhi ya watanzania wenzetu kwa mara nyingine.

    Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  18. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ni bibi wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona

    Haya ni maneno ya bibi kizee wa Miaka 72 wewe mwenye miaka 22 unawezaje kupinga ukweli huu? Ukimsikiliza vizuri huyu bibi utabaini mambo mengi yaliyojifichwa kwa muda mrefu ambayo hayasemwi Kwa sauti ya juu. Mpaka inafiki bibi kizee wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona mambo makubwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole asogeza mbele Mkutano na Vyombo vya Habari hadi Julai 18, 2025

    Wakuu! Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17...
Back
Top Bottom