kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nina hamu kubwa kuona Samia atakavyozunguka peke yake kufanya Kampeini

    Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge. Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe. Kwa miaka...
  2. Now and then

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ambavyo Nape na Byabato walivyo kidhalilisha Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa wanashinda kwa kuiba kura , nitashangaa kama watarudi Bungeni!.

    Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda. Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia . Na kuonesha kuwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Mmasai wala Mjaluo Muislamu na Sijawahi kuona Mpemba wala Mzaramo Mkristo, huyu Mungu na Allah mbona anabagua Makabila na jamii?

    Habari wadau. ni mimi peke.yangu ama na wengine. Sijawai kuona maishani Shehe Chacha ama Ukhty Boke , je wewe umewai muona muislam Mkurya ? Binafsi najiuliza kwa nini Mungu anaezimiliki hizi dini mbona anabagua waumini wake.. Wengine hawaielewi dini yake, je wataenda motoni?
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama waifanyiavyo Israel, nilitegemea kuona al jazeera wanaishutumu siku nzima Iran kwa kurusha makombora katika anga yao.

    Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri. al jazeera ipo nchini qatar. Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran. Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni. Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
  9. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni huzuni kuona jitu zima na akili zake lina-fall in love kama litoto

    Inasikitisha sana wakuu. Yaan pale unaona mwanaume amekua zoba kwa dem ambae ni malaya grade A. Dem ameshaliwa mikao na matundu yote kisha anatokea boya mmoja mwenye ushamba wa madem eti anaweka ndani. Kwanza unatuchukulia malaya wetu tulozoea kumpiga mitungo na kujilia tunavyotaka. Hii tabia...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuona chuo Over rated kama SAUT Mwanza, Ni chuo kilichopigwa make-up ya maneno lakini hadhi yake ni chuo cha kati

    Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana. Kitivo cha biashara hakina...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuona uzuri wa Tanzania ukiwa Tanzania

    Waafrika tunakasumba ya kuwaona wazungu wanaoishi Ulaya kama watu wenye maisha mazuri kuliko Waafrika wanaoishi Afrika. Tumeitukuza Ulaya na Wazungu wanaoishi huko kuliko waafrika wanaoishi Afrika. Wazungu wamejitahidi kujipamba na kujipambanua kwa Waafrika kuwa Ulaya ni kuzuri na kuna maisha...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu SPCT aitaka Serikali kusikiliza CHADEMA: Asema Maridhiano ni muhimu kwa Ustawi wa Taifa

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kuona Yanga ikishushwa Daraja,Karia kujiuzulu (BODI YA LIGI) au Vurugu inaweza ikawa solution.

    Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto. Vita ya Ushabiki ni vita Nyengine kwa Tanzania.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinavyotumiwa kupima uchumi wa nchi na kuona kama uchumi umekua au lah!

    Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama Mashahidi na Nyaraka za Kesi ya Uchochezi tu hawataki Watanzania muvione, Sahauni kuona Mikataba yenu ya Madini ya Uwekezaji wanayoingia kutupiga

    Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi. Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kawaida kuona wana siasa wanaigiza tupate burudani mfano kule Kenya ila Tanzania wamezidi

    Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi. Sasa angalia movie. Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 01.06.2025 ni siku ya jumapili, je, tujiandae kwenda kanisa la ufufuo na uzima kuona dude likiamshwa au hakuna kitu?

    Naomba majibu
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
Back
Top Bottom