kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari, msiwaache wanafunzi kuona wagonjwa wakiwa peke yao, afya ya mtu haijaribiwi wakikosea inaweza gharimu uhai

    Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu. Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuona mwanaume mwenye matiti/manyonyo kama huyu?

    Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna. Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna uwezekano iwapo mtoto akizaliwa akiwa bado mdogo akafanyiwa japo upasuaji na kuwa na jinsia moja tu...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  4. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Paul Dirac Alitaka kuikataa Tuzo ya Nobel kwasababu ya kuona Aibu na kukwepa attention na umaarufu

    ‎ Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote. ‎ ‎Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Uwa nashangaa kuona Wanafunzi Dar wanakaa chini wakati kuna DC na Ma-DED

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa anashangaa kuona taarifa zinazohusu wanafunzi katika baadhi ya shule zilizopo mkoani Dar es Salaam wakikaa chini, licha ya kuwepo kwa viongozi kama Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Maafisa Elimu. Amesema kuwa changamoto hiyo siyo matokeo...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika kuona wasanii wamegoma kwenda kumzika mama wa msanii mwenzao Chidi Benzi

    Wasanii kwa wasanii wanaishi maisha ya kisanii ,maisha ya kinafiki , wanajifanya wanapendana kumbe upendo wa kinafiki. Wasanii hupenda kuhudhuria shughuli iwe ni msiba, birthday,harusi nk ya mtu mwenye pesa , asiye na pesa wanamkalia mbali hata kama ni msanii mwenzao. Kwa haraka haraka...
  7. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    ....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo MFUMO WA ESS KWA SIMU
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  10. Drax001

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona messages zilizofutwa WhatsApp 'view once' utaziona

    Kuna hii inaitwa Whatsapp bot ukiiset kwenye Whatsapp yako unaweza kupata features zifuatazo na hizi ni baadhi TU ila zipo 500+ Zaidi siwezi zielezea zote . Naelezea baadhi tu 1. Kuweza kuona messages zilizofutwa na mtu yoyote iwe kwenye groups Au messages ya kawaida. 2. Kuset always online...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Usipende kutangaza au kuonesha mafanikio yako waache watu wagundue na kuona wenyewe

    Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
  12. Tochuku

    JamiiForums Tanzania SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

    Mbona kama wamemdaka maduro makusudi ni kama kuna mtu wanamtafutia sababu ajichanganye wampasue
  14. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Nasubiria kuona WABUNGE MACHAWA wakisema SAMIA AONGEZEWE MIAKA MINGINE 20! Thubutuuuuuuu

    Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29 na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao! Nategemea wabunge wapitishe samia aongezewe Miaka 20 ili iwe hakuna nywinywi wala nywinywinywi! ili akiua binadamu wenzie...
  15. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kampuni mbovu kama Star Times

    Narudia kama wapo humu wasome SIJAWAHI KUONA KAMPUNI MBOVU KAMA STARTIMES Mwaka Mpya nafungua na DSTV...hio taka taka nyingine ya startimes naenda kutupa jalalani. 🚮
  16. M

    JamiiForums Tanzania Miaka inaenda na ninazidi kuona umuhimu wa kuwa na ndugu, nimebaki na marafiki wachache sana watu waliobaki ni ndugu

    Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia kubadilishana mawazo na kuondoa upweke, lakini si ya kina sana. Katika maisha yangu ya zaidi ya miaka 30...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urusi sijawai kuona faida yake zaidi kuongeza umaskini kwa afrika wanaomtegemea.

    Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza. Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian. Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa kitendo hiki cha kigaidi kilichofanywa na Polisi, Tanzania lmekuwa zaidi ya Somalia

    Tanzania lmekuwa zaidi ya somalia na al shabab hebu fikiria watu wanateka hadi maiti hospital sijawai kuona ugaidi kama huu hapo kwanza. Mimi sijawai kuona kikundi cha kigaidi kikiteka maiti hospital, kwa taarifa za kuaminika police walipeka maiti hospital October 29 kisha wakaziteka na...
Back
Top Bottom