kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatupendi kuona wenzetu wakifanikiwa?

    Kwa nini HATUPENDI KUONA wenzetu WAKIFANIKIWA? Tunaishi kwenye ulimwengu wa mashindano ambapo tumefundishwa kufanya ulinganifu wa Maisha yetu na ya wengine. Wapatapo mafanikio wnzetu kwetu huwa ni pigo Kubwa Sana, Mara nyingi huwa hatufurahii mafanikio ya WENZETU. Mara nyingi Tunaamua...
  2. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

    Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
  3. Miki123

    JamiiForums Tanzania Marekani na Korea kusini wamepagawa baada ya kuona Submarine Nuclear ya Korea Kaskazini

    Dunia ina double standard sana. Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi. Mpaka sasa ni nchi kama Saba zinazoweza kuunda Aina hii ya nyuklia. USA haikufahamu kuwa Korea Kaskazini ina uwezo...
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Kuona Twiga Stars dhidi ya Namibia leo saa kumi Uwanja wa Mkapa bure

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) azamtvtz @tplboard @twigastars https://t.co/54Bwldai8X
  5. Kipunga

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

    Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana. Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona jinsi Chelsea ilivyoteseka kwa Brentford, nikaelewa Arsenal hakuwa na namna nyingine zaidi ya kufungwa!

    Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo. Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili...
  7. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Napata shida kuelewa kwanini Rais Samia kamuajiri Tonny Blair kuhusu COVID-19 na kurejesha jina zuri Tanzania

    Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani. Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo. Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu...
  8. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  9. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Mzee Rugemalila akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi katika mojawapo ya taasisi zetu

    Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini. Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana. Hivi ndivyo wenzetu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
  13. D

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii. Najikuta nachukia tu kuona house girl anapoongea na mabwana zake kwenye simu

    Sijui Mimi ndo nina shida au vipi! Mtoto wa watu (house girl) anahaki ya kuwasiliana na watu wake! Lakini pale anapopigiwa simu na mabwana zake au kuchat na kitochi pachapacha mbele yangu huwa nachukia sana, huwa natamani nifurushe kabisa! Siyo bek3 tu, hata wadogo zake na mke wangu wa kike...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  15. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Allute Jr: Polepole hatutakubali kuona ukipingana na Rais wa nchi hadharani. Huyu sio Rais wa CCM

    |MASWALI KUMI KWA POLEPOLE Na. Emmanuel Allute Jr, 1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu 4.51M wamekufa,wamo wachungaji,Mapadre,Masista,Ma-alhaji,Wainjilisti...
  16. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Mkaa unapoisha tunaona, kwanini gesi inapokuwa inaisha hatuwezi kuona mpaka tutingishe mtungi?

    Ukiwa unatumia mkaa una uwezo wa kuona wakati mkaa unaishia na kuweza kukadiria kama huo mkaa uliobaki utakusogeza hadi siku gani lakini hali iko tofauti kidogo katika matumizi ya gesi. Raha ya gesi ni pale tu unapobadirisha dukani kwa kununua gesi mpya mana hapo una uwezo wa kukaka hata wiki...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mkimfunga Mbowe hakuna kiongozi mwingine wa CHADEMA atayehofia au kuona hasara kwenda jela

    Moja ya athari ya kumfunga Mbowe (iwapo watatimiza nia hio ovu), wajue tu ni kufanya viongozi wote wa CHADEMA waliobalki wasione ni hasara kwa wao kumfuata Mbowe magereza na zaidi itachochea harakati za kudai katiba mpya huku wakiwa tayari kwa lolote. Msilolijua ni kuwa, kadri mnavyoendelea...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya 'Kulikoroga' na kuona hapati 'Sapoti' ya Wanafiki wengi, hatimaye Haji Manara apanga Kuomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC

    Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote. "Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Pahala sahihi na watu sahihi ndio watakaotambua thamani yako

    Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza kunisaidia kum tag kwa aliewahi ona uzi wake Mzee mmoja kabla hajafariki dunia, alimpa kijana wake...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunasikitika kuona unaiumiza legacy yako uliyoanza kuijenga vizuri

    Siyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha Kitaifa wala Kimataifa. Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja, imezua wingu zito juu ya dhamira ya Rais kiuchumi. Wengi tunajiuliza, je Mama anahujumiwa? Hata hivyo...
Back
Top Bottom