kuomba

  1. GE2020 Sengerema: Dkt. Magufuli aomba ridhaa kuongoza Muhula wa Pili. Asema wakichagua mwingine anaweza kuuza skrepa vyuma vya kujengea daraja

    Leo Rais Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Mwanza na yuko wilaya ya Sengerema, fuatana nami kukujuza yatakayojiri. ====== MAGUFULI: Wananchi wa Sengerema nawashukuru kwa makaribisho mazuri niliyoyapata hapa leo, Sengerema mmefunika, asanteni sana. Nilipopata makaribisho pale barabarani...
  2. Askari 19 wa Wanyamapori kizimbani madai kuomba, kupokea rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Simiyu kwa kushirikiana na Kikosi Kazi Taifa Dhidi ya Ujangili, imewafikisha mahakamani askari 19 wa wanyamapori kwa tuhuma za rushwa. Watuhumiwa hao wakiwamo askari wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (TAWA), wanatuhumiwa...
  3. Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
  4. GE2020 John Mrema aanza kampeni jimbo la Segerea kwa kuomba michango

    Katika hali ya kushangaza kiongozi mwandamizi wa Chadema anayegombea ubunge Ndg. John Mrema anaanza kampeni zake kwa kuomba achangiwe. Najiuliza iwapo kiongozi huyu ambaye amepata neema nyingi za kushirikishwa kwenye matukio ya Chama chao na kuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda wa zaidi ya miaka...
  5. Manyara: Hakimu Mfawidhi afikishwa Mahakamani kwa kuomba na kupokea rushwa Tsh. 150,000

    Hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Magugu Ndugu Adeltus Richard Rweyendera, amefikishwa mahakamani na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 150,000. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Kaimu mkuu wa...
  6. J

    Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

    Habari wadau, Kuna jambo moja linakera ila naona wengine kama wanaona ni vizuri kwao, sasa inanifanya nijiulize nina matatizo au vipi. Ni kuhusu kupeana vitu na watu, hasa nyumbani na majirani. Sitaki Jirani anipe vitu vyake wala sitaki aniombe vya kwangu, labda awe ametokewa na shida ya kweli...
  7. Inaruhusiwa kusali baada ya ngono kwa wasio na ndoa?

    Binafsi nina mke ila hili swali nimelikuta huko jukwaa lingine la kimombo nimeona nilete humu kuongezana maarifa Ni maswali yanayoonekana ni ya kipuuzi ila yana umuhimu kujua. Mida ya usiku wa giza ndio mengi ya giza hufanyika na hata nguvu za giza kutawala, yapasa mtu kabla hajalala aombe kwa...
  8. Fahamu sababu zinazolazimisha vituo vya habari kuomba kibali TCRA kuweza kurusha matangazo kutoka vituo vya nje

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza sababu tatu za kutaka vituo vya utangazaji nchini vinavyojiunga na vituo vingine vya kanda, nje ya nchi na raia wa kigeni kuwatembelea kupata kibali kabla ya kufanya hivyo. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa kwenye gazeti hili jana, na Mkurugenzi...
  9. S

    GE2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

    Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani? Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke...
  10. Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
  11. Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  12. Changamoto tunazopata katika mchakato wa kuomba namba ya simu

    Kupata namba ya simu ya demu ni mchakato hasa kwa wale wazee wa kujishtukia Juzi kati nikasafiri toka Dom kwenda Mwanza. Pembeni nina pis kali anashuka Buhongwa. Wote tulichangamka sana na mastori ya kila aina. Mara chache sana tulikuwa kimya ukiacha ile mida ya kusinzia. Drinks na bites...
  13. GE2020 Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT

    Leo tarehe 20 Julai 2020, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
  14. GE2020 Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu Warejesha fomu za kuomba uteuzi wa kugombea Urais baada kukamilisha kusaka wadhamini

    Hawa hapa Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato . Mungu ibariki Chadema
  15. GE2020 Sylvester Mujuni 'Mpoki' achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni

    Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo za kugani. Pia soma > Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania > Huyu Mpoki vipi...
  16. GE2020 Abdallah Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini kupitia CCM

    Kamanda Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini. Zombe ni maarufu kwenye midomo ya watu kutokana na kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabiri ambapo mwaka 2016 aliachiwa huru na Mahakama ya Rufaa ambapo pia mshirika wake Christopher Bageni alihukumiwa kunyongwa hadi kufa...
  17. GE2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati Vijijini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
  18. GE2020 Mwita Waitara achukua fomu kuomba ridhaa CCM kuwania Ubunge Tarime Vijijini

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake...
  19. GE2020 Profesa Kitila Mkumbo achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kumteua kugombea Ubunge Ubungo

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
  20. Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…