kuomba radhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Kauli Hii ni Apologetic, Japo Mwanzo Alikomaa, Sasa Ameguswa, Ameumia, Amejutia!, Ameomba Msamaha!, Watanzania Tumsamehe, Yaishe Tusonge Mbele!.

    Wanabodi Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na wahalifu waliokuwa wanataka kumpidua, lakini baada ya kubaini ukweli kuwa sio wote waliouliwa ni...
  2. Abraham Lincolnn

    Vyombo vya habari vimewakosea sana watanzania, Vinapaswa kuomba radhi, Hakika damu iliyomwagika itawalilia

    Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru katika kutoa taarifa kwa wananchi wote. Kwa jinsi mwenendo wa hali ulivyokuwa tangu kuanza kwa kampeni mpaka kutokea mauaji ya halaiki kwa raia, vyombo vya habari vimehusika kwa kiasi kikubwa, Damu hii iliyomwagika ardhini itawalilia milele. Vyombo vya...
  3. Nipe Maji

    SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

  4. S

    Lini CCM waliwahi kukiri hadharani kufanya maovu na kuomba radhi? Kama hawajawahi, wanafanya maridhiano kwa lipi?

    Mimi naomba kama yupo mwwnye majibu anisaidie. Kama tuliambiwa "tunademka" na kwamba "kifo ni kifo" na hujwahi omba radhi kwa kauli za aina hiyo huku ukisema wewe ni "chura kiziwi' , sasa logic ya kufanya maridhiano inatoka wapi? Mwenye majibu tafadhali.
  5. NALIA NGWENA

    Uongozi wa Simba SC unapaswa kujitokeza kuomba radhi Mashabiki kwa kudanganya thamani ya Kikosi cha Msimu wa 2024/25

    Mashabiki wa Simba SC msimu huu wameachwa na maswali mengi baada ya uongozi wa klabu hiyo kutangaza kuwa kikosi cha msimu wa 2024/25 kina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5. Hata hivyo, hali halisi uwanjani imeonesha tofauti kubwa kati ya maneno na uhalisia wa viwango vya wachezaji waliopo...
  6. ngara23

    Fainali ya CAFCC isipopigwa Taifa, Serikali itoke hadharani kuomba radhi

    Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati Fedha zote hizo...
  7. Mshana Jr

    Leo tarehe 31.12.2024 ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka huu. Nachukua nafasi hii kuomba radhi

    Tunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia Tarakimu hazina kinyume(rivasi).. Muda haurudi nyuma.. Hivyo basi siku hii ya huu mwaka haitakaa irudi tena maishani...
  8. M

    Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  9. Waufukweni

    Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

    Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu. Pia, Soma: • Polisi: Tunawashikilia Niffer...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Kama Kiongozi anayewajibika nilitarajia Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu kuomba radhi watanzania au kujiuzulu

    Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24? Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu...
  11. R

    Mzazi wako akikukosea anakuombaje radhi?

    Wakuu, Mzazi wako akikukosea anaombaje msamaha? Omba msamaha kama mzazi/mlezi wako anavyokuomba akikukosea. Twende kazi... ==== Unajua wewe ndio umesababisha mpaka nikakuchapa (kosa linatajwa upya na lawama zote zinarudi kwako zinarudi kwako tena, hapo ndio imetoka hiyo😂😂😂).....
  12. V

    DC Kiteto ni wakati wa kuitisha kikao cha wadau wa kilimo ili kuwaomba radhi

    Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno. Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali. Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
  13. Mhaya

    Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

    Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba. Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba...
  14. BARD AI

    Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  15. J

    Mariam Ditopile amlipua Lema, amtaka ajitokeze kuomba radhi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ajitokeze aombe radhi kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu Vicoba ambayo ni yakuwadhihaki wanawake. Katiba hotuba...
  16. Brain Kingdom

    Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  17. BARD AI

    Jumuiya ya Bonde la Usangu yamtaka Balile kuomba radhi kabla ya haijamshtaki

    Jumuiya Ranchi hizo (Uraa) imepinga taarifa ya kuhusika kwake na operesheni zinazozuia maji kuingia kwenye Mto Ruaha Mkuu, na kutishia kumshitaki Deodatus Balile aliyewahusisha na sakata hilo. Mapema wiki hii kwenye hafla ya mazingira mbele ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango mjini Iringa...
  18. Mocumentary

    UVCCM wamvaa Dkt. Bashiru mzimamzima - "Aache unafiki, aombe radhi, hatutamuangalia usoni

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Dkt. Bashiru aombe radhi kutokana na kauli yake aliyotoa wakati wa mkutano mkuu wa Mviwata, Kenani amekiomba chama kumchukulia hatua Dkt Bashiru kutokana na kauli zake za ukosoaji kwa viongozi, hawapaswi kupongezwa. Global...
  19. Suley2019

    Idris Gueye agoma kuomba radhi kwa kutokuunga mkono LGBTQ+

    𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+. Hivi...
  20. Analogia Malenga

    Rais Joe Biden apinga kuomba radhi baada ya kutoa kauli ya kutatanisha kumuhusu Rais Vladimir Putin

    Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu amesema hataomba radhi baada ya kutamka hivi karibuni kwamba rais wa Russia Vladimir Putin “hawezi kusalia madarakani”, akisisitiza kwamba “alionyesha hasira ya kimaadili”, na sio wito wa kuondoa utawala wa Moscow. “Watu kama hao sio wa kuongoza nchi, lakini...
Back
Top Bottom