kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Single Maza ni rahisi kuolewa kuliko ambae hajazaaa

    Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra. Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

    Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi. Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania HIVYO ULIVYO UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA KWELI?

    kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani ya kiimani, furaha na huzuni.... kwa mwenendo na tabia yako ndani na nje ya familia, na zaidi sana...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kukubali kuolewa soma hapa dada yangu ujiridhishe

    DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO 1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ipi hasara ya kukurupuka kuoa au kuolewa?

    Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume?

    Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi. Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na ndoa, usikosee kuoa au kuolewa

    (Story ya Asamoah Gyan) Intro 👇👇 ✍️Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunambia Wanawake wana jicho la kuforecast mafanikio ya mtu kabla hata mtu mwenyewe hajayaona , Yaani mwanamke anaweza kukuweka kwenye mzani akajua wewe ten Years utakuwa wapi kimaisha, kama ukiwa in a stable movement...
  8. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ameona ni mara mia binti yake ateseke kuliko kuolewa bila laki saba

    Alimtafutia kazi huyu binti wa dada yake. Baada ya miezi mitano tokea kuanza kazi, binti akapata mwamba, akaanza tabia ya kutoroka saa 10 jioni kumpelekea Mwamba Utelezi. Boss ndipo kushtuka, akaamua kumfukuza kazi. Binti ndipo kukimbilia kwa mshkaji ili waishi kama Baba na Mama Taarifa ndipo...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa. Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

    Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza Rekebisheni mdomo , value man...
  11. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kadri umri unavyoenda uwezekano wa kupata MKE/Mume sahihi unapungua

    Vijana oeni mapema Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka. Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs Umri WA wanaume single broken ni 35+ Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba. Manake kashaumizwa sana hadi...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna ambaye ameoa au kuolewa atauona Ufalme wa Mungu. Ushahidi huu hapa

    Ukiangalia mitume wale 12, Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura. Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake. Siku ndoa ni kikwazo...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  15. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Aisee hawa wanawake ni hatari. Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats. Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

    Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations 2.Mitindo ya malezi, maana...
  18. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    .
  19. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single. Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa. kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia. Bro kama ukipata soulmate...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina. Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto. Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara. Kwanini hali ni...
Back
Top Bottom