kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuoa au kuolewa ni ngumu kumpata mwenza mnayeendana

    Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana. Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari...
  2. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

    Mwaka 2025 usikae kihasara Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE? Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela We zubaa hapo, shauriako...
  3. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe waliochezewa na wanaume wenzetu.

    Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya. Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo. A) WANAUME AMBAO HAMJAOA Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa...
  4. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

    Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.
  5. Mr Why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

    Wauza uduvi wote Dar wapewa tahadhari ya kujiongeza vinginevyo WATAOLEWA! **Mwenye mahari anakaribishwa https://youtu.be/LIjez6dA9jw?si=-v8WNpI7o76jClr2
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti, kama unampango wa kuolewa usichelewe kuolewa. Umri sahihi 20 - 30

    BINTI, KAMA UNAMPANGO WA KUOLEWA USICHELEWE KUOLEWA. UMRI SAHIHI MIAKA 20 - 30. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuolewa ni faradhi lakini kuzaa inaweza kuwa majaliwa yaani mapenzi ya MUNGU. Ikiwa unajua kuna siku utataka Kuolewa au utaolewa Basi ninakushauri usichelewe kufanya hivyo. Umri...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  10. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

    Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu! Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu kibaya au ni mtu mbaya, hapana, lakini kuna mambo yanatokea ambayo sijayapendi. Mchumba wangu ni daktari...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa ukiwa na miaka 30+ ni kumfanyia ukatili mumeo

    Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kuchakatana (kugegedana) na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo. Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu. Sasa vipi...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9. Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
  14. Sisa Og

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Wadada Wanaotaka Kuolewa

    Habari wana JF? Leo nazungumza na wadada wanaotamani kuolewa. Kumiliki mwanaume. Kama hauna mpango huo, basi endelea na threads nyingine. Haijalishi mdada ni mrembo kiasi gani, una tabia nzuri kiasi gani. Ila hizi tabia zitakufanya uishie kuwa single mother, uchukie wanaume au wakufaidi...
  15. BISLETT STADION

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police...
  16. Dfw_1k

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Habari zenu, Naomba kuuliza swali: Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
  17. nipo online

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila mambo ya kuoa na kuolewa ni magumu mno

    Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto. Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni...
  18. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  19. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwezi kuolewa na Mwanaume asiyekuwa na gari

    "Siwezi kuolewa na Mwanaume asiekuwa na Gari" Maneno haya anasema mwanamke ambaye anatumia sabuni ya kuogea mpaka size yake inakuwa kama kipande cha line ya simu🤭 . . . . Ewe Mwenyezi Mungu wajaalie baraka na bahati wanawake wote ambao hawajaolewa. Aamiyn.
  20. chiembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa mikoa ya kaskazini wanavyojichotea mabilioni kutokana na kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara

    Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
Back
Top Bottom