kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

    Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea. Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja...
  2. Biashara ya Kununua Kahawa

    Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
  3. Sasa wageni kununua dhamana za serikali

    Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu. Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds. Hii ni hatari kwa uchumi wetu. We are officially sold out.
  4. Tatizo kwenye kununua umeme

    Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
  5. B

    BOT - Ruksa sasa Watanzania kununua hati fungani ktk nchi za SADC / kufungua akaunti kwa hela ya kigeni

    BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI New Foreign Exchange Regulations Issued Set foreign exchange limits for travelers Restrictions for residents to maintain bank...
  6. K

    Serikali iweke mazingira ya watanzania kununua hisa kwenye mradi wa LNG

    Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku ikusubiri faida na kodi tu,, tuseme hapana lazima watanzania waweze kumilikishwa asilimia 20 % za...
  7. Mabinti wengi wa sasa hawajui kununua mboga sokoni

    Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli. Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
  8. Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Wakati nipo chuo kuna watu walikuwa wanasumbua sana na subwoofer zao mpaka wanawake nikaona huu ujinga sasa kila mtu subwoofer la kichina nikapata wazo la kutengeneza mziki mkubwa sana wa kuunga unga nikanunua vitu hivi. Car audio crossover and equalizer Car music booster Spika 2 za bass (...
  9. Natafuta baiskeli ya kununua

    Wapendwa, habari zenu? Natafuta baiskeli nzuri kwa ajili. ya matumizi yangu ya kawaida. Je, nani anauza na kwa bei gani? Asante
  10. Jifunze namna ya kuandika mkataba kisheria unapouza au kununua

    MKATABA MZURI HUWA NA HAYA: ( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M. Archard. Jina linatakiwa liwe katika ukamilifu wake na hasa pawe na majina matatu kamili. Pia...
  11. Mwaka jana Serikali ilitangaza kuanza kununua mafuta moja kwa moja toka kwa wazalishaji. Mpango huu umefia wapi na kwanini?

    Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
  12. TAHADHARI! Kama unategemea kununua Kirikuu/ Suzuki carry Soma hapa

    NI gari flani zamani ukinunua Scania wanakupa kama nyongeza 😎.. . Wadau wengi wamevinunua ili kufanyia biashara ya mizigo sasa basi ni vyema tukapata ABCD zake, maana usipovielewa vitakupasua kichwa.. . Suzuki Carry imezaliwa toka Tanganyika inapata uhuru 1961 mpaka leo bado kinazalishwa and as...
  13. L

    Tanzania kununua ndege tano ili kuhimiza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL). Mbarawa amesema katika mwaka...
  14. N

    Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

    Habari wakuu. Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k) Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
  15. M

    Poland inachekesha, Wakati yenyewe imegoma kununua gesi toka Urusi, inaitaka Norway iwagawie faida wanayopata kwa kuwauzia gesi kwa bei ya juu

    Huwezi kuamini mawazo na akili ya Viongozi wa Poland!! Wam,eamua kuachana na gesi ya urusi ya bei rahisi kwa kuwa wanaweza kununua gesi pia toka Norway na nyingine toka Ujerumani (inayopata gesi toka urusi). Lakini wanailalamikia Norway kuwa inawauzia gesi kwa bei kubwa sana karibuni mara NNE...
  16. M

    Poland yasitisha kununua gesi toka Urusi: Lakini mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka Urusi sasa yataleta gesi toka urusi kupitia Ujerumani!

    Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!! Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi kwa sasa yataunganishwa kwa ujerumani ili yalete gesi toka ujerumani. Inajulikana kuwa ujerumani...
  17. S

    Ujerumani na Italy zaifyata mikia yao, zafungua akaunti nyingi za Ruble kwa fujo ili kununua gesi ya Russia kwa wingi zaidi

    Baada ya kushupaza shingo kwa miezi kadhaa kuhusu kulipia gesi kwa sarafu ya Ruble, mwisho aa siku Ujerumani imetababahi kuwa haina msuli wowote wa kususia au kuacha kutumia gesi ya Russia. Ujerumani na shoga yake Italy wameona isiwe tabu, waendane na matakwa ya Putin wasije katiwa gesi...
  18. A

    Ushauri: Kununua gari isiyoizidi 16m

    Habari za jioni ndugu zangu, Sina uzoefu na magari ila nimejichanga na nimepanga kununua gari isiyozidi 16M na yenye cc isiyozidi 1490cc mpaka 1990cc. Kwa muonekano wa nje mana sio mzoefu wa magari nimevutiwa na Toyota Runx, Allex na Premio ( Mawazo yanaweza kubadilika kulingana na ushauri...
  19. 29% ya Watanzania hawamudu kununua mchele

    Taarifa ya NBS iliyokusanya takwimu za kuanzia Februari 2021 hadi Machi 2021 zimeonesha baadhi ya watanzania wanakosa kumudu huduma muhimu kama Huduma za Afya na Chakula. Katika vyakula, ikiwemo mchele, mahindi na unga wa mahindi zimeonesha mchele unatumika na 55% ya watanzania huku 29% wakiwa...
  20. Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

    Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…