SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

90sgeneration

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
275
375
Wakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu.

Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure.

Najua pia humu kuna vijana wenzangu wanaoanza maisha, kuna watu ambao uchumi wao haujakaa vizuri hivyo wangehitaji vitu kwa bei ya chini, pia kuna wale wanabana matumizi, kuna wale wanahitaji ila vya dukani bei imesimama sana, basi hapa ndio soko lenu. Takua napost unaangalia unachopenda na unapata. Asanteni wote mlionitumia vitu na wengi vishauzika tayari. Hivyo kama pia unacho unachotaka kuuza (used) njoo tukiuze boss.

Pia kama unahitaji kitu na hujaona nimekipost hapa, piga namba hiyo useme unataka nini na nitakupatia.

Piga simu au whatsapp: 0752329591.
 
Napost hapa vitu used (naconnect wauzaji na wanunuaji) hivyo napost na kuna number yangu hapo juu Mkuu, ukioenda kitu wala usicomment hata, just piga tu direct au tuma sms hakuna shida , si lazima ukuje inbox.
Asante sante mkuu. Ile microwave bado unitumie picha mkuu.
 
KaribuniView attachment 2553375
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20230314_092858.jpg
View attachment 2553376

Sofaset (3:2:1)
Price :530,000
Makumbusho
 
Back
Top Bottom