kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Corolla Old 1996-2001 ya kununua

    Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea) Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari
  2. JamiiForums Tanzania Kijiji cha Manzeye Wilayani Mbinga hakina umeme, baadhi ya maeneo watakiwa kununua haki zao

    Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma. Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia kuingia katika soka la Bongo kwa kununua magoli ana akili nzuri sana!

    Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kununua kwa milioni 10 kila goli la Taifa Stars kufuzu AFCON

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea. Taarifa iliyotolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imesema Rais Samia ameahidi kuanza kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kununua tiketi 4000, ni ishara kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi?

    Suala la rais na waziri mkuu kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
  6. JamiiForums Tanzania Poteza simu/ Laptop unaweza kununua nyingine lakini mafaili binafsi yakipotea imeisha hio! Tupeane mbinu za kutunza copy za mafaili tukwepe majanga

    Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k. Binafsi nkumbuka kuna siku nimeenda jengo flani nikapaki gari huku nimeacha laptop, ile narudi nakuta...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uwezo wangu wa kununua mzigo na kupeleka sokoni unapungua

    Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14. Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ikitokea Timu za Ihefu FC na Gwambina FC zinacheza Kimataifa utaendelea Kununua Magoli kwa Tsh Milioni Tano?

    Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile. Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
  9. JamiiForums Tanzania SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

    Wakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu. Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure. Najua pia humu kuna vijana wenzangu wanaoanza maisha, kuna watu ambao uchumi wao haujakaa vizuri hivyo wangehitaji vitu kwa bei ya chini, pia kuna wale...
  10. JamiiForums Tanzania Vitu 15+ unavyotakiwa kuacha kununua unapotimiza miaka 50

    Wasalaam. Leo naongea na wazee wenzangu, team nakataa ndoa na timu tunda kimasihara tafadhalini mtulie. 1. JIEPUSHE KUKIMBIZANA NA FASHENI ZA VIJANA Sio kila nguo ya vijana itakupendeza. Kumbuka kipindi hiki shape yako inakuwa imebadilika sana na haifanani tena na miili na maumbo ya vijana...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo ya Dar es Salaam ambayo ni tambarare na hayana watu wengi, nataka kununua eneo na kujenga apartments

    Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments. Nitashukuru kwa michango yenu. Note...
  12. JamiiForums Tanzania Unaangalia vigezo gani kununua Laptop? Chagua Laptop inayoendana na matumizi yako

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuchagua laptop ya kununua Processor, Storage,RAM, Display, Graphics n.k 1.Processor Hapa ndo kwenye performance nzima ya kompyuta yako Ni namna kompyuta inavyochakata taarifa au kila kitu unachofanya kwenye kompyuta yako kinapitia hapa kufanyiwa kazi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kununua nyumba au kiwanja cha mirathi documents gani za msingi za kujiridhisha kabla ya kununua

    Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo. Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Desktop ya kununua

    Habari za jioni, Nahitaji Desktop Ya kununua , Nipo Dar Es Salaam. Offer Yangu ,Tsh Laki 1
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji desktop ya kununua

    HABARI ZA MCHANA, MWENYE DESKTOP ANAUZA NZURI INAFANYA KAZI, NIPO DAR ES SALAAM. OFFER YANGU TSH LAKI 1.
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya A

    Hebu jifunzeni kutoka kwa jirani ili siku nyingine msiwe mnaongea kama wagonjwa wa dementia. ===== US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya Airways. Chris Kiptoo, the Treasury Principal...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM inapo tapa tapa kusaka uungwaji mkono

    Ni kweli kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru. Hata hivyo kwa mustakabala wetu wakiwamo watoto wa wajukuu zetu, tusiache mbachao kwa msala upitao. Haina shaka kuwa nyongeza ya kwenye "boom" haina tofauti na punje ya mchele na punje ya almasi kwa jogoo. Mengine haya ni yale yale...
  18. JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  19. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kununua simu ya galaxy S23 plus na ford ranger ndoto yangu imetimia

    Ama hakika pesa ni sabuni ya roho ukiwa na pesa unaweza kuhamisha mlima kilimanjaro kutoka kilimanjaro na kuupeleka mtwara sio kitu kabisa kabisa Nimefanikiwa kununua gari ya ndoto yangu Ford ranger kutoka moja kwa moja state nimeagiza moja kwa moja na pia nimefanikiwa kununua simu kali ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…