Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao !
Hao kunguni wametoka wapi ? Nini chanzo chake ? Kwa afrika mtu akiwa na kunguni hata mmoja kwenye shati yake ni tukio la aibu na...
Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea.
Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu.
Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/
Kuna daladala zimekuwa na kawaida...
WanaJF, SALAAM!
Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali".
Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa...
Kuhusu hili tukio la wale watumishi wa Afya ya zahanati moja huko Tabora nimeona media zote za chadema wanamsagia kunguni aisee kwahiyo sie chadema tunaona raha kuharibu vitumbua vya wenzentu?
Chadema kulikuwa na haja gani ya kupost vile bila kufatilia chanzo chake? Na kwanini imetokea vile...
Wajumbe wa MCC Kawe kama mpo pia na hapa JamiiForums naomba nichukue nafasi hii kuwatakeni radhi kama kuna nilikowakosea ili mnisamehe na nyota yangu ya kukubalika irejee kwa Jamii.
Kwani kama kuna sehemu ya kipekee ambayo mara kwa mara nimekuwa nikitamba kuwa nakubalika, ni maarufu na mimi...
Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa.
Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes.
This has been my life time wish for so long.
Kunguni ni wadudu wadogo wa familia ya Cimicidae Wadudu hawa huishi kwa kufyonza damu ya wanyama wenye damu moto (mamalia na ndege). Spishi hii huishi mara nyingi katika vitanda vya watu na masofa majumbani kwetu.
Watu wengi kwakutokuelewa wanadhani na wanaamini kunguni uwapata watu wachafu...
Kunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika!
Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi.
Ghafla tena naitwa nyumbani kwamba wadudu wanasumbua, njoo utupe msaada, nikaenda kweli nikakuta wamejaa...
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni mjasiriamali nnaye jihusisha na usafi nimejikita zaidi katika uchafu sugu ulio shindikana mfano kung'arisha masink yaliyo na uchafu sugu,Tiles zilizo na uchafu sugu,sofa zilizo na uchafu sugu na vyote nang'arisha kurudi kuwa na muonekano mpya kabisa haijarishi aina...
Habari wana JamiiForums hope wote mpo poa ndugu yenu nina mabalaa apa ni mwez wa tatu huu cjalala kwa raha nimevamiwa na kungun hata cjui nifanyaje.
Balaa lilianza kama miezi mitatu iliopita nilikuwa nalala kwenye godoro ambalo halina foronya nikavamiwa na kungun nikawa silali vizuri nikaamua...
Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi.
Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
Mwenye kujua hili atujuze maana kuna kipindi fulani nyumbani kwetu kulijaa sana kunguni ila tukawaua. Sasa hivi hawapo; hebu tuambieni kunguni wanatokea wapi au wanasababishwa na nini?
Kwa yeyoteanaesumbuliwa na wadudu mbali mbali tuwasiliane kupitia +255758899901. au tembelea tovuti yetu ya Xfrey kufanya booking ya huduma kutoka kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.