Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari wana JamiiForums hope wote mpo poa ndugu yenu nina mabalaa apa ni mwez wa tatu huu cjalala kwa raha nimevamiwa na kungun hata cjui nifanyaje.

Balaa lilianza kama miezi mitatu iliopita nilikuwa nalala kwenye godoro ambalo halina foronya nikavamiwa na kungun nikawa silali vizuri nikaamua kununua foronya km zile za kwenye makoch ya magar ila kubwa enough kwa kufunika godoro hali ikaisha nikawa nalala raha mustarehe sasa sijui imekuwaje.

Kunguni wakajipanga sasa hivi foronya ipo lkn wanakuja juu sijui hata wanapita wapi nikawa najikuna usiku mzima nikaona isiwe kesi ngoja nikafue mashuka na foronya na godoro nikatoa nje lkn wapi hali ni ileile.

Nikasema ngoja nipige pas lakini mashuka bado jamaa wapo nikaenda kununua dawa moja hivi ya unga niliambiwa ni nzur nikamwaga unga kwenye godoro kitanda kizima kila kwenye tundu lakini hali bado tete nalala kwa shida yaan usiku imekuwa km series ya kujikuna kila siku niwaua kungun kwa kuwabinya watatoa harufu moja matata lkn wapi nimegundua kuna kungun wengine ni wadogo mno ivo ukifeel tu unawasha basi jua upo apo karibu utafeel anavyotembea.

Sasa naombeni mnisaidie nifanyaje
 
Hawana dawa! Wanauwezo wa kuwa living na non living! Wana uwezo wa kukimbia speed kubwa zaidi ya bus la superfeo waenda 230km/h,
Wana uwezo wa kunyonya damu bila kung'ata injection!
Kwahiyo dawa ya hao ni kuchoma vyote vilivyomo chumbani halafu upake rangi upwa!
Sema unakuta unawaua ndio lakini huangamizi mayai yao ndo maana mzunguko wa maisha yao bado unaendelea

Dawa ni kuwasusia kitanda na godoro lao kama miezi minne au mitatu utakuta wamehama wote mimi nilifanya ivo ni wasusia vyote kujakurudi na lala kwa raha zote.
 
FB_IMG_1605898267715.jpg
 
Dawa Yao hao Ni maji ya Moto wafungie kazi siku

Siku ukiwa free home chukua like sufuria kubwa kabisa chemsha maji na kuni kabisa toa vitu vyote njee

Mwagia kila kitu maji yote hawarudi kamwe

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Dawa Yao hao Ni maji ya Moto wafungie kazi siku

Siku ukiwa free home chukua like sufuria kubwa kabisa chemsha maji na kuni kabisa toa vitu vyote njee

Mwagia kila kitu maji yote hawarudi kamwe

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kwaio unamwaga ili wafe au ili uwafukuze ebu fafanua kidogo maana kuna jamaa liniambia hao hata ukifua kaz bure loweka mashuka weka maji ya moto
 
Naweza kuipata wapi hio powder maana kunapoda powder nimepewa haikusaidia
Duka la kilimo na mifugo kuna size tofauti tofauti.
Nyunyiza hadi kwenye creak za ukuta (kama ziko)na chini ya kitanda na kwenye chaga na sehemu zile unazoona wanaweza jificha alafu funga mlango shusha pazia kabisa hakimisha harufu inabaki mdani na hewa haiingii kwa mda humo ndani
 
Sema unakuta unawaua ndio lakini huangamizi mayai yao ndo maana mzunguko wa maisha yao bado unaendelea

Dawa ni kuwasusia kitanda na godoro lao kama miezi minne au mitatu utakuta wamehama wote mimi nilifanya ivo ni wasusia vyote kujakurudi na lala kwa raha zote.
Wanauwezo wa kukaa hata miaka 10 na kufufuka, hapo kama huamini mda wowote watafufuka
 
Chemsha Kila kitu gheto kuanzia mashuka,sub woofer,godoro,boksa,kitanda nk

Keisha habari yao
 
Unaptikana wapi mkuu mimi naua kabisa sikuchaji hata Mia wew mwenyw ndo utaamua.njoo PM nkutajie mahitaji
 
Kuna dawa inaitwa Farm guard hio ni kiboko sana kwa Kunguni yaan hatoboi kabisa.
Inapatikna maduka yanayouzwa pembejeo za kilimo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom