Na ng'arisha masink,sofa na tiles zilizo na uchafu sugu pamoja na kuua wadudu kama kunguni na mende

Digital base

Senior Member
Jul 19, 2020
126
189
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni mjasiriamali nnaye jihusisha na usafi nimejikita zaidi katika uchafu sugu ulio shindikana mfano kung'arisha masink yaliyo na uchafu sugu,Tiles zilizo na uchafu sugu,sofa zilizo na uchafu sugu na vyote nang'arisha kurudi kuwa na muonekano mpya kabisa haijarishi aina ya uchafu.
Pia nafanya Fumigation kwa wadudu wagumu kama kunguni na mende wana kufa muda huo huo.
Natumia dawa zangu nnazo tengeneza mwenyewe katika kung'arisha masink, tiles na sofa hata katika Fumigation pia.
Gharama za huduma kwa masink ya kawaida ni 7000 kwa 10000 kwa sink kutegemea na uchafu maana kuna yaliyo fubaa kuwa njano kabisa.
Tiles inategemea na ukubwa wa eneo pia Kama ni tiles za chini au za ukutani.
Fumigation pia gharama inategemea ukubwa wa eneo tuna kubaliana.
Sofa pia tunakubaliana kulingana na idadi ya seat ama ukubwa wa set.
Mawasiliano yangu ni 0748062691 ama WhatsApp 0787181643 Napatikana Dar es salaam
Mfano wa picha za kazi zangu kabla ya kusafisha na baada ya kusafisha kwa Tiles za chini hapo chini,pia ikiwa ukanipa tenda hakuna malipo yatafanyika bila wewe kuridhika.
IMG_20210429_145944_264.jpg

IMG_20210430_113429_819.jpg
 
Back
Top Bottom