kundi

Faisal Karim Kundi (Urdu: فیصل کریم کنڈی‎) is a Pakistani politician who served as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan from 2008 to 2013.
Faisal Karim Kundi hails from a known political family of Khyber Pakhtunkhwa. He started his political career in 2003 and served PPP as Divisional Coordinator D.I.Khan Division.
Born in 1975 in Dera Ismail Khan and graduated from UK. He had an intrinsic inclination towards politics and was groomed by Late Benazir Bhutto during her stay in London. He contested election from NA-24 on PPP ticket in General Election of February 2008 and was elected as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan on Wednesday March 19, 2008. He secured 246 votes out of 318 polled.
He has the honour of being the youngest (33 years old) Deputy Speaker from amongst so far elected Deputy Speakers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Ndege inayoaminika kubeba kundi la Wagner 140 yalipuka Mali, Afrika

    Yaani kama movie vile, ndege inajilipukia yenyewe na kuwafanya mishkaki... This is the dramatic moment a giant 'Russian made' transport plane careered off a runway in Africa and exploded into a fireball amid suspicions the jet was linked to the Wagner army. The Il-76 plane burst into flames...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  3. JamiiForums Tanzania TLS yadaiwa kugawanyika makundi mawili, Rais Sungusia apingwa na kundi moja

    Mpasuko mkubwa unafukuta ndani ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ukihusisha baadhi ya viongozi wanaounda Baraza la uongozi la chama hicho, Jambo Media inaripoti. Taarifa za mpasuko huo zimebainishwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya TLS, zikionyesha wazi kama hali itaendelea hivyo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja. Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Afrika kwenye kundi la G20 ni hatua muhimu kwenye kuongeza sauti ya Afrika kwenye jukwaa la kimataifa

    Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo lilipoanzishwa mwaka 1999, likiwa na nchi wanachama 19 + Umoja wa Ulaya, wakati wote mambo yanayohusu mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Kundi lingine la mamluki laanza kumgomea Putin, hawa kwanza ni NAZI kabisa

    Hili ni kundi linaloamini katika neo-NAZI, yaani NAZI ya kisasa, wanaamini katika zile pumba za Hittler alizotumia kuua mamilioni. Wakati Putin anaparamia Ukraine alisema anafanya hivyo kuondoa neo-NAZI, sasa hawa hapa walikua wanampigania na kumsaidia kama ilivyokua kwa wale wa Wagner...
  7. JamiiForums Tanzania Hili Kundi la 'Vijana na Samia' limebarikiwa na CCM na Serikali, manake si kwa Kujikomba huko

    Na Msemaji wake ni Mtangazaji wa Michezo EFM Radio ambaye hajawahi Kuelewana na Wenzake katika Media anayofanya na Mwenezi wa CCM katika Shina huko Temeke aitwae Twalib Othman Muwa. UVCCM ina maana pamoja na Kujipendekeza na Kujikomba Kwenu kwa Watawala ( Marais ) wa nchi hii Safari hii...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

    Disclaimer: Hizi ni Tetesi Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa. Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM. Wana CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Ukraine wafanikiwa kufanya mashambulizi makali Crimea na kuua kundi la maadui

    Vilianzia Crimea, vinaishia Crimea, hivi karibuni Urusi itaitapika Crimea..... Ukrainian defence forces, together with the Security Service of Ukraine (SSU), have launched a drone strike on the 126th Brigade of the Russian Black Sea Fleet, based in the village of Perevalne in temporarily...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Uganda: Mwendesha bodaboda aliyekuwa amepakia ndizi na kukatiza mbele ya kundi la Simba auawa na kuliwa na simba hao

    Wiki mbili zilizopita kwenye mitandao mbalimbali ilionekana mwendesha bodaboda asiye na woga akiwaacha wengi katika mshangao baada ya kupita kwa utulivu katikati ya kundi simba wenye njaa wanaokula mnyama waliyemuua. Inasemekana baada ya kuwapita Simba, pikipiki yake ilipata hitilafu ambapo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ujio wa DP World, kuimarika kwa kundi la Ugaidi Mozambique, kudhoofu kwa Usalama Kongo na uwepo wa Alshaabaab tuviangalie kwa mapana

    Tanzania ni nchi pekee ambayo kwa sasa imekaa eneo la kimkakati ambalo lisipolindwa vyema ipo hatari mataifa ya magharibi yakapenya na kutuondolea kabisa amani iliyopo kwenye ukanda wa bahari na Afrika Mashariki. Tunapowaza kuhusu DP world kuja kiuchumi lazima pia tuangalie kiusalama. Tumeona...
  12. JamiiForums Tanzania Kufuzu World Cup 2026; Tanzania yatupwa Kundi E ikiwa na Morocco na Niger

    #MICHEZO Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026. Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na Morocco Zambia, Congo, Tanzania, Niger & Eritrea. Michezo hiyo itaanza kuchezwa mwezi Novemba mwaka huu #KombeLaDuia #TaifaStars...
  13. JamiiForums Tanzania Mkazi wa Kata ya Ruaha Manispaa ya Iringa ataka ufafanuzi juu ya Suala la Bandari

    Ungetarajia mwana kijiji kama huyo kuhoji hilo la bandari? Inafikirisha! Mkazi wa Kata ya Ruaha katika Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa Joseph Mkazi akiuliza swali kwa Mbunge wa Iringa mjini, Dk. Jesca Msambatavangu (hayupo pichani) kuhusu Bandari ya Dar es Salaam kama imeuuzwa au la...
  14. JamiiForums Tanzania Ukatili na roho mbaya katika kundi hili la bodaboda vinasababishwa na nini?

    Hili kundi la bodaboda a.k.a Maafisa usafirishaji mostly ni watu wakatili na wenye roho mbaya. Kijana mwenzao kapata pikipiki ya mkataba akipeleka pua tu kwenye kijiwe wanamtoza laki 2, 3, 4 au aondoke haraka kabla hawajamwitishia mwizi. Laki 3 kijana ambaye ni jobless ndio kwanza kapata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama yaamuru aliyetolewa kwenye kundi la WhatsApp bila ridhaa yake arejeshwe

    Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila ridhaa yake. Hakimu wa Mahakama ya Makindye, Bwana Igga Adiru, amemuagiza bwana Allan Asinguza, ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

    Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ya viwanda: Mei Mosi na kundi lililosahaulika ndani yake

    Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya kila siku kwa kila Mtanzania. Bidhaa zenye kuzalisha faida za thamani ya mamilioni ya shilingi na...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali Wakati Akichangia Hotuba ya Bajeti Wizara ya Elimu

    MBUNGE LATIFA JUWAKALI AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa na jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…