Mkazi wa Kata ya Ruaha Manispaa ya Iringa ataka ufafanuzi juu ya Suala la Bandari

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
Ungetarajia mwana kijiji kama huyo kuhoji hilo la bandari?

Inafikirisha!

Screenshot 2023-07-03 112900.png

Mkazi wa Kata ya Ruaha katika Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa Joseph Mkazi akiuliza swali kwa Mbunge wa Iringa mjini, Dk. Jesca Msambatavangu (hayupo pichani) kuhusu Bandari ya Dar es Salaam kama imeuuzwa au la, ambapo alijibiwa kwamba bandari hiyo haijauzwa, bali imekodishwa kwa mwekezaji mpya ambaye ni Kampuni ya DP World ya Dubai wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumamosi Julai 01, 2023. (Picha na Friday Simbaya).

Nipashe
 
Live Jambo limefika kwa wananchi, babu anasema tulidai uhuru ili kumiliki bandari na maliasii zetu zote. Je mmeuza bandari au la huko bungeni ? (Wananchi makofii)

wabunge wa 2020 wa CCM wahojiwe katika majimbo yao ili lipate jibu sahihi kisiasa (political solution) kwa jinsi lilivyowauma wananchi ili waridhike kuwa wabunge wao hawajapiga mnada mali za umma bila kuwauliza wananchi .
 
Hapo Jibu utaambiwa hapana haijauzwa ?

Tatizo lilolopo ni kubwa Kuliko tunavyodhani kama sio hili leo kesho litakuja lingine - Kodi badala ya kutumika kufanya maendeleo inatumika kufanya Propaganda

Live Jambo limefika kwa wananchi, babu anasema tulidai uhuru ili kumiliki bandari na maliasii zetu zote. Je mmeuza bandari au la huko bungeni ? (Wananchi makofii)

wabunge wa 2020 wa CCM wahojiwe katika majimbo yao ili lipate jibu sahihi kisiasa (political solution) kwa jinsi lilivyowauma wananchi ili waridhike kuwa wabunge wao hawajapiga mnada mali za umma bila kuwauliza wananchi .

Mbunge kapata wakati mgumu sana
 
Ungetarajia mwana kijiji kama huyo kuhoji hilo la bandari?

Inafikirisha!

Mkazi wa Kata ya Ruaha katika Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa Joseph Mkazi akiuliza swali kwa Mbunge wa Iringa mjini, Dk. Jesca Msambatavangu (hayupo pichani) kuhusu Bandari ya Dar es Salaam kama imeuuzwa au la, ambapo alijibiwa kwamba bandari hiyo haijauzwa, bali imekodishwa kwa mwekezaji mpya ambaye ni Kampuni ya DP World ya Dubai wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumamosi Julai 01, 2023. (Picha na Friday Simbaya).

Nipashe

Kwenye kupitisha mkataba sauti ya mbunge wao Ndio ilikuwa juu kabisa lakin ajabu na yeye hakuna kitu anachojua anaishia kujiuma mdomo tu
 
Back
Top Bottom