kumiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

    Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
  2. Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana. Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther ===== Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60...
  3. M

    Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

    Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
  4. Diamond Platnumz ndio tajiri wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari

    Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari. Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari. Helicopter hii...
  5. Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

    Kwema Wakuu!! Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo; 1. Nauli. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri. 2. Zaka na Sadaka. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za...
  6. Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  7. T

    Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

    Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini. Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza. Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
  8. Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

    Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
  9. Nawezaje kumiliki AK-47 I am admirer

    Yaani hii kitu Raha sana. Na hata mambo ya panya road I should posses one
  10. D

    Kumiliki bastola ni mzigo; ni salama zaidi ukiwa huna

    Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola. Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola. Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi ya uvamizi...
  11. Tafsiri ya kumiliki kitu chochote ni kile unachokula hicho ndo haki yako na mali yako

    Nilichogundua anachokula mtu ndo halali yake na ndo Mali zake . Ndio maana chakula kinapewa heshima Duniani kote. Hata Mtu ukiweza mpatia chakula kizuri lazima atakuheshimu na kukuadmire. Mfano ukiangali hela tunazospend kwenye kula ..yaani Ni hela nyingi sana ambazo tungekuwa tunaishi bila...
  12. Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa! Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani. Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii! Wanaume wa Dar es salaam...
  13. Kuhusu kumiliki ardhi Zanzibar, wengi hatukumwelewa Rais Hussein Mwinyi

    Nimepitia kurasa kadhaa katika mitandao ya kijamii kama Facebook, magroup ya WhatsApp na Jamii Forums watu wakiijadili kauli ya Rais WA Zanzibar Dr. Hussein Ally Mwinyi alioitoa akikisisitiza kwamba Mtanzania Bara haruhusiwi kumiliki ardhi KISIWANI Zanzibar. Wengi wa wachangiaji wameonekana...
  14. M

    Sasa ni wazi: Sifa ya kuwa mchambuzi wa soka hapa Tz ni kumiliki mdomo!

    Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao. Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!! Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka...
  15. Mbeya: Polisi wamnasa Mganga wa Jadi kwa kumiliki Sh milioni 3.3 za bandia

    Mnamo tarehe 26.03.2022 majira ya saa 13:30 mchana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko kijiji cha Nsongwi Mantanji, Kata ya Ijombe, Tarafa ya Tembela, Wilaya na Mkoa wa Mbeya na kufanikiwa kumkamata FIDELIS KOMBA [42] Mganga wa tiba asilia, Mkazi wa Nsongwi – Mantanji akiwa na...
  16. Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  17. Je, unataka kumiliki Duka La Mtandaoni- eCommerce?

    Habari; Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu. Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu. Yapo maduka ya 900,000shs,1,200,000shs 1,500,000shs,1,750,000shs na kuendelea.Haya ni maduka ambayo...
  18. Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  19. Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
  20. Mambo Saba (7) ya Kuzingatia Kumiliki Majengo ya Ofisi ya Kipato Kikubwa Kwa Zaidi Miaka 10

    Baada ya vita vya pili vya dunia (1939-45), mahitaji ya majengo ya ofisi yameongezeka sana. Hii imetokana na kuongezeka kwa waajiriwa wa maofisini ukilinganisha na waajiriwa wa viwanda. Sekta ya viwanda ndiyo imekuwa sababu kubwa ya kupungua au kuongezeka kwa uhitaji wa majengo ya ofisi. Maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…