Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL
===
Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai.
Mtaturu ameyasema hayo...
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.
Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu...
Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI".
Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu)
Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
Huu mjadala nimeukuta mahali, kwanini pesa ya Kenya inathamani kubwa kuliko ya Tanzania?
Mjadala ulikuwa mkubwa sana watu kidogo wazichape, mkenya alikuwa mmoja tu watz tulikuwa kama wote.
Wapo waliodai utofauti wa pesa yetu na yao ni namba tu, kwa mfano 500 ya kenya ni sawa 10k ya tz watu...
Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba.
Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo.
Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
Iko hivi:
Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga kutokana na hali halisi inayowakabili kutoka kwa umma.
Ni kweli hata wakati wakati wa Kikwete na Mkapa...
Wizara ya Afya imetaja matumizi ya tumbaku kama moja ya sababu ya watu kupata saratani. Hata hivyo bei ya zao la tumbaku ni kubwa kuliko mazao mengine ya biashara katika soko la dunia
Kwa takwimu za kuanzaia Januari 2015 hadi Septemba 2021, wastani wa bei ya tumbaku ni Dola 4.7 kwa Kilogram...
Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV.
21. Ray C
20. Lady Jaydee
19. Abby Chamz
18. Luludiva
17. Mwasiti
16. Linah...
Nilikuwa naangalia video flani YouTube inahusu capital city za nchi 54 za Africa. Sasa nikaenda sehemu ya comments kusoma nikajionea watu wengi kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiisifia Kenya kuwa ndo favourite country yao lakini kiuhalisia ni dhahiri tumewazidi vivutio (Sina haja ya kuvitaja...