kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja. Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa. Nimeota haya leo
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

    Jamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie. Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu...
  3. JamiiForums Tanzania NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

    Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo. Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze...
  4. JamiiForums Tanzania Vodocom ni kampuni legelege kuliko Tigo

    Hapo vip! Kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi companies 2 Leo ukitaka kuswapu line ya Mpesa itakuchukua takribani miezi 3 au 4 ila tigo siku hiyo hiyo ili mredi wamethibitisha pasipo shaka wewe ndio mmiliki wa line husika iliyopotea. Vodacom inapendwa na wazeee ila Tigo inapendwa na new...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya na Manyara wanaume ni wengi kuliko wanawake?

    Ni kwanini?
  6. JamiiForums Tanzania 2025 Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani kuliko kawaida

    Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu. Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali. Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua. Najua siku chadema wataanza mikutano ya...
  7. JamiiForums Tanzania Rishi Sunak: Waziri Mkuu tajiri kuliko Mfalme Charles III

    Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni mara mbili ya utajiri wa Mfalme Charles III wa Pauni 370 milioni. Utajiri wa Sunak umeelezwa umetokana...
  8. JamiiForums Tanzania Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika tunahitaji chakula kuliko Demokrasia

    Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza. Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza. Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kuna wakati Utawala wa Kidikteta unakuwa unafaa kuliko aina yoyote ile ya Utawala?

    Zamani wakati dola ya Rumi ni jamuhuri, walikuwa wanafanya uchaguzi kila mwaka. Kila mwaka walikuwa wanachagua viongozi(consulars) wawili kuwaongoza. Hawa walikuwa ni watu walioonyesha uwezo wa kiuongozi na kivita na walipitia ngazi kadhaa hadi kufaa kuchaguliwa uconsular. Maconsular hawa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Redio nyingi hapa Tanzania siku ya Ijumaa wanapiga zaidi nyimbo za kaswida za Kiarabu kuliko Kiswahili?

    Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu. Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali. Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko wote JF?

    Wajameni nina swali. Who is the smartest person on JF? Yani genius, akili mingi, great thinker..kuliko wote. Nataka nimjue kipanga wetu.
  14. JamiiForums Tanzania Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

    Published Oktoba 21, 2022  Najaribu kulizungumzia hili kwa sauti kubwa niwezavyo ili watu wanielewe.Ni kwamba mikakati imeshabuniwa na imeshawekwa ili uhaba wa chakula 2023 na kuendelea uwe mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika Historia ya Wanadamu,kwa hiyo ni lazima tujiandae. Kwa wenye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

    Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
  16. JamiiForums Tanzania Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

    Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa? Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa hapa ndo utagundua Sisi Wapumbavu tupo wengi kuliko Werevu/Wenye Akili

    Trust me. Hili kama huamini pitia threads za humu ndani. Utagundua wenye akili ni wachache sana. Wengi ni vilaza. Sisi Vilaza ni Jeshi Kubwa. Mwenyewe akangalia threads zenye vichwa vya habari kama hivi. 1. Naombeni Ushauri.nimemfumania mke wangu mara tatu sasa nifanyeje 2. Nimempa Mimba...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini scale za geologists kwa bongo ziko chini kuliko meneja wa vitengo?

    Wanabodi, nimefuatilia mambo ya migodini nikagundua geologist, engineer ambaye ana cheo kama geology manager, au Gelogy supervisor mshahara wao unakuwa wa kawaidi, mfano 9-10 Million/mwezi wakati Supervisor wa maendeleo ya jamii anakula hata million 14. Je hii ni kwanini au wana malipo ya ziada...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wanyonge wa Hayati Magufuli wanamlilia sana Kassimu Majaliwa kuliko Rais Samia?

    Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi? Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya? Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa...
  20. JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kwa mwaka 2022 ni kubwa kuliko 2021

    Kimsingi trend ya bei ya mahindi imeonesha hali isiyo ya kawaida kwa mwaka 2022. Hali tunayoweza kuilalamikia ulaya kutokana na Vita vinanvyoendelea Ulaya mashariki. Kwa kuangalia trend ya bei za gunia la mahindi ni kawaida kwa bei kupanda na kushuka kutokana na utofauti wa vipindi vya mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…